Je huku ni kuwajali wananchi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je huku ni kuwajali wananchi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jidu, May 12, 2011.

 1. Jidu

  Jidu JF-Expert Member

  #1
  May 12, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,167
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  Jana kwenye taarifa ya habari ya channel 10 kuna habari ya kusikitisha juu ya wananchi wa serengeti ambao wanapakana na hifadhi hiyo,Kundi kubwa la tembo limevamia na kuharibu ekari nyingi za mazao yao ambayo walitegemea kuvuna kati ya majuma 2-3 yajao,lakini ndoto hizo zimefutika ghafla baadya ya wanyama hao waharibifu kuteketeza mazo yao.na hakuna juhudi yeyote ya kuwafidia wakazi hao juu ya uharibifu huo.kingine nilichosikia kuwa ikitokea mnyama ameua binadamu basi serikali hutoa kifuta machozi cha Shilingi 20 tu!wapi thamani ya binadamu na mnyama?
   
 2. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #2
  May 12, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 937
  Trophy Points: 280
  Ah, hata mimi nashangaa. Mapato yanayopatikana kwenye mbuga huchukuliwa na serikali, sasa kwa nini maafa kama hayo yanapotokea tusigawane keki ya taifa?
   
Loading...