New afrika hotel ya kibaguzi;kukataa kuuza vinywaji vya kokakola ni sawa???

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,906
22,050
Ndugu zanguni hili lazima tuwaweke sawa hawa wahindi
kuna jamaa zangu wiki iliopita walikodisha ukumbi wakaomba na vinywaji ..kwenye makubaliano kulikuwa na koka kola gafla wakati wa shuguli wanaleta vinywaji vya pepsi mirinda saba juu na kuendelea

akadai alishangaa sana alipouliza kwa bosi wa newafrika akasema ndio alizokuwa navyo...alishangaa sana akasema mbona amkusema.......kuangalia mezani yaani ni vinywaji vya sbc tuuuu@@@@@@@@@

kwa kweli inasikitisha na nilipoongea na mmoja wa wadau akadai hao jamaa wameamua kumsapoti muhindi mwenzao..., kwa kweli nikasema na sie watanzania twende kwenye hoteli za watanzania wenzetu tunywe vinywaji tunavyoviitaji na si kuchaguliwa........
 
Sasa ni soko huria tafuta sehemu nyingine inayokidhi mahitaji yako pia mwambie na rafiki yako kuhusu huduma zitolewayo new afrika hoteli mwisho wa siku atatambua kwamba mteja ni mfalme kwa vitendo.
 
Soko linaendeshwa na nguvu ya utashi wa wateja....wasipoweka watapoteza wateja wengi tu ambao wanatumia hizo kwa muda watatumia zilizopo wakirudi kukuta kila mara same story watawahama....acha soko litawafundisha
 
Back
Top Bottom