Upanuzi wa bandari upande wa kigamboni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Upanuzi wa bandari upande wa kigamboni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kadudu, May 10, 2011.

 1. K

  Kadudu Member

  #1
  May 10, 2011
  Joined: Mar 22, 2008
  Messages: 71
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ijumaa iliopita Wajumbe wa baadhi ya Mitaa ya VIJIBWENI walikutana kujadili upanuzi huo,na jana walikuwa wanakagua mipaka bandari itakapoishia.
  je program itakayo chukua muda gani mpaka kuhamisha wakazi?
  je Mafao wanazingatia VITU GANI nafikiri mfano mzuri tuchukulie waliohamishwa kurasini,
  Vitu tuzingatie ktk kupata haki zetu?
  msaada tafadhali kwa wanaojua
   
 2. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2011
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  kuna kitu kianzua sana utata kuhusu kigamboni. kuna usiri fulani ambao unafanya uwekezaji kwenye eneo hilo kuwa wa mashakamashaka. nina kiwanja kisota lkn nasita kukiendeleza kwa kutokuwa na uhakika hatima ya eneo la kigamboni. ukichukulia staili yetu ya utawala ambako mambo hayawekwi hadharani inaongeza mashaka na dukuduku
   
 3. K

  Kadudu Member

  #3
  May 12, 2011
  Joined: Mar 22, 2008
  Messages: 71
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  jana wamemaliza kuweka mipaka ya ekari 100 kutokea baharini kuanzi mbuyuni kama unaelekea vijibweni,pia kiwanda cha gesi kimepitiwa na program hiyo.sasa ndo kusema bandari wanafuata hiyo rama ya mji mpya ama bado implementation haijaanza?
   
Loading...