Kambi ya jeshi inaungua songea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kambi ya jeshi inaungua songea

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by POMPO, May 11, 2011.

 1. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kuna kambi ya jeshi Chandamali inateketea kwa moto Songea...
  moto ueanza kuwaka mida ya saa tano.. watu mlioko huko tujuzeni..
  hali siyo swari mwenye data
   
 2. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mkubwa hayo ni MABOMU au nini? tujuze, kuna nini kimekorofisha?
   
 3. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mabomu hayajaanza kulipuka?
   
 4. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Ni kambi ya mishale iliyotumika katika vita vya Majimaji....hailipuki
   
 5. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,292
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  teh teh teh. Mbona unaleta matani na hi issue. Ngoja tusubir ni vakunyumba valenga vahwili ni motu.
   
 6. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  iungue tu ili zinjengwe kisasa zaidi
   
 7. Jeremiah

  Jeremiah JF-Expert Member

  #7
  May 11, 2011
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 641
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Acha utani bwana. Unataka mkwele ajiuzuru bure.
   
 8. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #8
  May 11, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  serious bwanwee
   
 9. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #9
  May 11, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  duh halafu karibu na ma home pale MABATINI mabomu yasije lipua house ya mshua duh!
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  May 11, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  these things are happening too frequent to be just accidents

  Something is cooking
   
 11. Double X

  Double X Senior Member

  #11
  May 11, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  acha yalipuke tuu ndio watajufunza kuchukua tahadhari, hata pale DOM jirani na wanapofanyia semina elekezi naskia kuna kambi sijui yapo nayo yawafurumushe mle ndani maana wanatumbua kodi zetu tuu...!
   
 12. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #12
  May 11, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  chadema wameshatua Songea, watasema chadema wanahusika au ni mbinu za kuzuia maandamano na mikutano ya cdm Songea.
   
 13. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #13
  May 11, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,163
  Likes Received: 1,122
  Trophy Points: 280
  ni kweli!! ni moto wa 'kawaida' na ushadhibitiwa na vikosi vya zimamoto. ni kambi ya jeshi inayoitwa Chandamali ipo along Tunduru-Songea Road. Hii ni kwa mujibu wa vyanzo vyangu vilivyopo huko songea.
   
 14. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #14
  May 11, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  heri mimi sijasema
   
 15. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #15
  May 11, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,419
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  mmezidi kuwabania mianya ya kupiga wanamagamba bajeti kila sehemu mnawakwamisha.sasa watachoma majengo na kuyajenga!
   
 16. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #16
  May 11, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,502
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Halafu mtoto wa Mwinyi ambaye ni Waziri wa Ulinzi wa Tanzania, eti aje agombee URAIS mwaka 2015.
   
 17. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #17
  May 11, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,163
  Likes Received: 1,122
  Trophy Points: 280
  ...inasemekana ni nyumba tu (staff quarter) ndio imeteketea so wameiwahi kuizima
   
 18. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #18
  May 11, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  U made my smile of the day. teh teh teh teh Thanks
   
 19. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #19
  May 11, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Home Mabatini? Mi nimekaa Chandamali up to 1998, nimezurura sana Mabatini
   
 20. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #20
  May 11, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Mkuu mbona historia inapiga chenga hivyo hata kulidharau Jeshi letu la Wananchi kwa kuiita kambi ya Chandamali ni ya mishale ya vita vya Majimaji? Hebu tuombe radhi watanzania.

  Mishale iliyotumika vita vya Majimaji watu wachache sana wanayo na mingine ipo pale kwenye Makumbusho ya Mashujaa wa Majimaji Songea.

  Mlima Chandamali ulitumika kama sehemu ya kwenda kufanyia matambiko. Chifu Songea, Chifu Luambano na baadhi ya majumbe walikwenda sana huko kutambika before, during and after Majimaji war. (inatajwa hata Marehemu L Gama alikuwa akienda.)

  Kambi hiyo ya jeshi ilianzishwa baada ya Uhuru. Inasilaha nzito za kivita. LENAMO wanaijua habari ya kambi hiyo.
   
Loading...