Kipanya the great

Kipanya the great

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,866
Reaction score
4,264
I always admire masoud wa kipanya for his philosophical approach towards tanzanian political environment. Leo tena katika gazeti la mwananchi, katuni yake nimeikubali mno! Angalieni mwananchi. Wewe kipanya na nathan ni makatunist mahiri sana. Nafikiria kama kutakuwa na uwezekano wa kuwa na tunzo za vikaragosi vyenye mantiki kama hii. Big up!
 
Hata mimi Mkuu, huyu jamaa nampongeza.
 
sasa si mtundike huyo kipanya, sio wote ambao wapo tanzania
 
sasa si mtundike huyo kipanya, sio wote ambao wapo tanzania

mkuu ukiona hivi ujue tunatumia mobile. Otherwise go to www.kicheko.com utapata acces ya magazeti likiwapo mwananchi
 
5.jpg
pencil.png
 
mi namkubali james gayo,anachora katuni ya kingo kwenye gazeti hilo hilo la mwananchi,tukifika ofcn kila mtu anagombea gazeti la mwananchi ili tu amcheki kingo..
 
namkubali Masoud. clever brave tanzanian. kwa namna yake anaisaidia jamii yake kwenye mambo yanayoisumbua zaidi ...siasa na utawala
 
Anafafanya vizuri sana KP.
Binafsi nikipata Mwananchi, kitu cha kwanza ni Kipanya tu.
 
mi namkubali james gayo,anachora katuni ya kingo kwenye gazeti hilo hilo la mwananchi,tukifika ofcn kila mtu anagombea gazeti la mwananchi ili tu amcheki kingo..

preferences mkuu ila huwa zinazidiana
 
I admire thiz guy..he z so talented and very aware of wat z goin in the country an around the world. Big Up KP.
Mtembelee hapa: Kipanya the Cartoons
 
Masoud Kipanya is a talented political cartoonist. he was also very good as a radio announcer walipokuwa na Fina Mango kwenye kipindi cha Clouds cha power breakfast!!
 
Yuko creative!
Look at Maisha Plus!...Japo baadhi ya watu walikuwa wanaikandia maisha plus, lakini it was one of its kind nchini, na imewatoa baadhi ya watu, na sasa hivi wanalea familia zao!
He can do far better than that!
 
Yawezekana pia kuna watu wenye maono wanaotumia kipaji cha kp kuwasilisha hisia zao? Yawezekana yote hayo kuwa mawazo yake pekee?
 
Yawezekana pia kuna watu wenye maono wanaotumia kipaji cha kp kuwasilisha hisia zao? Yawezekana yote hayo kuwa mawazo yake pekee?

Yeah,kweli mkuu,umetoa wazo zuri. Mara mojamoja atakuwa anapata mawazo kutoka kwa wadau na yeye anatumia kipaji chake kufikisha ujumbe. Ila yote yanawezekana pia.
 
Back
Top Bottom