madhara kwa jamii yenye familia nyingi zenye kuendeswa na wanawake.

minanda a

New Member
Oct 14, 2009
2
0
isack newton alisema "we are where we r by standing on the shoulders of the giants" nakubali kwamba haya ninayoandika nimeyapata kutoka makala tofauti tofauti na nimechanganya na mawazo yangu. Jamii yoyote ambayo mwanaume amekosa control na ivyo nyingi ya familia kuwa zinaongozwa na wanawake uwa zinapatwa na madhara mengi sana ambayo nitayaorodhesha baadae.Ninaposema familia inaongozwa mwanamke namanisha either a single parent family au familia ambayo baba sio kiongozi wa familia. chanzo kikubwa cha familia aina hii ni kutowajibika kwa wanaume au wanawake kutothamini miili yao. kutokana na haki sawa kijinsia siku izi wanawake wengi wamekua na mafanikio kiuchumi na ivyo nao wameamua kutoona umuhimu wa kuolewa au kuheshimu waume zao. Badala yake wanachagua mwanaume kwa dhumuni tu la kuzaa nae na kudhani labda mtoto ni aina fulani ya tuzo au labda kitu cha kumtuliza mawazo na kuondoa upweke. Madhara yake ni ongezeko kubwa la uhalifu na upungufu mkubwa wa maadili kama yanavyodhiirika katika jamii ya wamarekani weusi na hata hapa tanzania.familia imepoteza maana na watu kudhani kila kikundi fulani cha watu kinaweza kuitwa familia lakini familia bora ni ile yenye baba, mama na watoto na wazazi wazazi wenye kuheshimu ndoa yao na kuongozwa na baba unless kifo kimeingilia. Hata kifo kikiingilia labda mzazi akafariki ni vyema mzazi aliebaki atafute mwenza mwingine mwenye uwezo wa kuziba ilo pengo. leo imakua ni sifa kwa mwanaume kumdhalisha mke wa mwenzake au mwanamke kuiba mme wa mwenzake matokeo yake kuwapa mzigo watoto wasio na hatia.Ni ajabu sana heti unakuta kijana mwenye nguvu kabisa akilelewa na mwanamke kazi ni kulewa na kusoma magazeti uku mama akifanya shughuli zote hadi kusomesha watoto. Msichana anajifunza kumuheshim mumewe kupitia malezi na upendo aliopewa na baba yake na mwanaume anaheshimu uhanaume wake kutokana na kuona uwajibikaji wa baba yake. Baba akikosekana madhara yake ni wanaume wasiojitambua(mashoga) au masharobaro na wanawake wasioheshimu miili yao(malaya), Au mwanaume mwenye kuchukia jamii akiamini jamii haikumtendea haki mama yake ivyo kulipiza kisasi na kuongeza uhalifu.naishia kwa kusema jamii yenye wanawake wenye kuheshimu miili yao na wanaume wawajibikaji ndio jamii yenye maendeleo. C u nxt tym. imetafsiriwammmmmmmmmmmmm
 
Back
Top Bottom