Mfaume Kizito ( N,Katibu Uvccm bara )... Ccm ikitetereka, watanzania watatetereka. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mfaume Kizito ( N,Katibu Uvccm bara )... Ccm ikitetereka, watanzania watatetereka.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ibrahim K. Chiki, May 10, 2011.

 1. Ibrahim K. Chiki

  Ibrahim K. Chiki Verified User

  #1
  May 10, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Naibu katibu mkuu wa uvccm bara bwa Mfaume kizito, akiongea na vyombo vya habari leo amesema, nanukuu " Chama cha mapinduzi kikitetereka, na tanzania ( Watanzania ) watatetereka " Mwisho wa kunukuu. wadau, mnaionaje hii..?? source: ITV habari.
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  huo ndo mwisho wa upeo wake wa kuona na kufikiria. haoni nje ya gamba la chama chake kinachokufa kwa kasi. maisha yatakuwa raha mstarehe bila hili chama la mafisadi.
   
 3. Ibrahim K. Chiki

  Ibrahim K. Chiki Verified User

  #3
  May 11, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Kauli mbiu, tz bila ccm, inawezekana....!!
   
 4. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Magamba ndani ya ccm yapo mengi sana!
   
 5. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Pole zake mwani hana habari sisiem ina miaka mingi tu imetetereka, na watz tunadunda. TANZANIA BILA CCM INAWEZEKANA
   
 6. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  The Ill Discoverer who think that there is no ocean where there is absence of Island
   
Loading...