ccm na dhana ya kujivua magamba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ccm na dhana ya kujivua magamba

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by fimbombaya, May 12, 2011.

 1. f

  fimbombaya Member

  #1
  May 12, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  ninapata wasiwasi na kuwa na maswali mengi yasiyo na majibu hasa ninapojiuliza juu ya dhana ya ccm kujivua magamba. wasiwasi wangu ni jinsi gani hawa ccm waliweza kuishi na viumbe wenye magamba siku zote hizo bila kuwabaini? kuna msemo wa kingereza ambao tafsir yake ni hii. ndege wenye mbawa za kufanana huruka pamoja. ninahakika kuwa hao waliotajwa kuwa ni magamba ndani ya chama ni kafara lakini chama chenyewe ni gamba tosha kwani tumeshuhudia mambo ya msingi yanavyopelekwa na kuamuliwa kwa maslah ya wachache.
   
Loading...