Natamani tubadilishane maraisi kikwete aende rwanda kagame aje tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natamani tubadilishane maraisi kikwete aende rwanda kagame aje tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by matawi, May 11, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. m

  matawi JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2011
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  wiki iliyopita niliona report ya transparent international kuhusu rushwa nilihuzunika sana kuona Tanzania ina 28% ya rushwa, Kenya 32% na Rwanda 6.6% . Hivi raisi wetu amelogwa? mbona Tanzania kuna amani, uhuru tulipata toka 1961. Hivi Kikwete badala ya kwenda Ulaya kuzurura kwa nini asimwite Kagame aje mshauri jinsi ya kukabiliana na rushwa?????? jamani mimi roho inauma sijui kama kesho ntaamka.Kwa nini ripoti ya CAG haifanyiwi kazi, huyu ****** ana mpango gani na nchi hii???????
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Kwa kumwangalia sura of course Rwanda watamkaribisha kwa mbwembwe!
  Lakini in zero time watagundua kuwa ni mzigo wa MISUMARI!
   
 3. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Kikwete hatufai lakini hapana Kagame; Kagame ana damu ya watu wengi tu alipokuwa Msituni kwanza Uganda halafu Rwanda, Tatizo la sisi waafrika ni rahisi sana kusahau mateso tunayopewa na viongozi wanopenda kumwaga damu; nasema aheri ya kikwete anatuacha tufe na njaa kuliko yule anayetuwekea mtutu wa bunduki mdomoni kwetu

  The most important kind of freedom is to be what you really are. You trade in your reality for a role. You trade in your sense for an act. You give up your ability to feel, and in exchange, put on a mask.
   
 4. peri

  peri JF-Expert Member

  #4
  May 12, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kagame ana damu ya watu wengi tu alipokuwa Msituni kwanza Uganda halafu Rwanda,
  tusiangalie uzuri au ubaya wa mtu kwa kigezo kimoja tu cha rushwa.
  KIKWETE ANA MAZURI YAKE NA MAPUNGUFU YAKE, VIVYO HIVYO KWA KAGAME.
   
 5. Pepombili

  Pepombili JF-Expert Member

  #5
  May 12, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 439
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hujaandika kama mtu mwenye ufahamu upo kishabiki zaidi
   
 6. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #6
  May 12, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  No thanks.
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  May 12, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,771
  Trophy Points: 280
  Napita tu
   
 8. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #8
  May 12, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  uzuri wa jk labda upo usoni tuuu!
   
 9. FIDIVIN

  FIDIVIN Senior Member

  #9
  May 12, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 187
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Acheni hoja za kitoto,
  Ukidharau nchi yako ni kujidharau mwenyewe. Roho inakuuma sababu umejazwa upepo na hoja zilizojaa humu ukidhani zote ni kweli. Jifunze kupima mambo la sivyo roho itakuuma sana rafiki. Tafuta kazi fanya kwa bidii. Pia usipokee wala kutoa rushwa, wafundishe na ndg na marafiki zako kutofanya hivo.
  Kagame unamtamani wewe, nenda kaishi huko
   
 10. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #10
  May 12, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Wazee twende pole pole haya masaibu yetu tutayamaliza kikubwa bila kumwaga damu!!!!!!!!!!!! Huyu Bwn Kagame na Musebeni hawaachani, Rwanda damu, Kongo damu,Uganda damu, chonde chonde heri ya njaa na ukata kuliko kumwagwa damu na ukimbizi.
  Hakuna cha kufikiria wala kubadilishana Maraisi. Tushukuru Mungu hapa tulipo tuendeleze siasa zetu za kibongo ahsante Mungu kuniumba nikiwa Mtanzania!!!!!!!!!!
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...