Hodi vijana wangu!!!

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,987
20,271
Japo mie ni boss wenu lakini ndani ya jf ni mgeni! Tafadhari ndugu zangu naomba ushirikiano na mwongozo wa jf!!!
 
Mkuu,
Kwanza karibu, kama ni 'utambulisho' lipo jukwaa maalum...ngoja mods waihamishe hii na kukupeleka kwenye HODI ili wadau tukupokee.
 
wewe ni bosi wetu kivip?

halafu nagalia mlango wa kuingilia utajajikuta choo cha mashoga siku moja
 
Duh ...Karibu sana Boss.lakini umekosea kidooogo, mlango ule uloandikwa utambulisho
ndio unakuelekeza mapokezi au chumba cha wageni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom