Whats wrong with African mothers? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Whats wrong with African mothers?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Masanilo, Jan 26, 2009.

 1. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Wadau something has just come on my mind, msinishambulie tafadhali , nimeangalia kwa makini watoto wanaozaliwa na wazazi wa mixed races wanakuwa na future tofauti sana. Mathalani baba anapokuwa mzungu na mama mwafrica watoto mara nyingi huishia jela ama kutokuwa na future inyoeleweka nina mifano mingi tu....lakini ukiangalia kwenye couples ambazo baba ni mwafrica na mama mzungu watoto waliowengi huwa na future nzuri sana, nitatoa mifafono hapa, Leona Lewis, baba mweusi mama Mzungu, Lewis Halmiton, baba mweusi na mama Mzungu, Akina Rio Fedirnand mama mzungu baba black, haya na raisi wa dunia Baraka Husein Obama, baba black na mama Mzungu, Tiger Woods mama mzungu baba Muasia najua kuna exceptions kama akina Alexandra Burke et al lakini ukiangalia walio wengi waliozaliwa kwenye mixed races mama mweusi wanakuwa hawana uelekeo....

  comments please.... we need a big study to prove this hypothesis, Will look for funding Mtanzania fanyie PhD hii kitu, I assume wa mama wa kiafrica wanashida kwenye malezi ya watoto...Mwafrica wa kike na women of substance hebu toeni hoja
   
 2. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2009
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145

  Wasalaam Ushirombo,

  Mosi, tupe mifano ya watoto waliozaliwa na mama weusi na baba weupe wasio na mafanikio hili tuweze kuchangia. Bob Marley alizaliwa na kulelewa na mama mweusi lakini kwa kiwango chake aliweza kufanikiwa na mpaka leo hii yeye ni legend wa music wa kuruka ruka (reagae).

  Pili, inategemea huyo mama mweusi anaishi katika mazingara gani? usitegemee mzungu kuja Tanzania na kuzaa na mwanamama wa kiswahili muuza genge utegemee kwamba mtoto atayelelewa na huyu mama ataweza kulingana na mtoto atayelelewa huku akiwa amezungukwa na nyenzo za kuweza kujinyanyua kimaisha na kielimu.

  Tatu, your hypothesis is too general, you need to narrow it down. Mfano what is your target group? Mzungu wa russia na mmatumbi?

  Shadow
   
 3. O

  Ogah JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  ....aisee weekend ndio imeisha tena.....kesho maboxini!!!
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Jan 26, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Miafrika Ndivyo.......
   
 5. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #5
  Jan 26, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Jerry John Rawlings, mama yake alikuwa mghana na baba yake toka UK. Alikuwa Rais wa Ghana. nadhani mtu kufanikiwa ama kutofanikiwa kunachangiwa na mambo mengi.
   
 6. P

  PauliMasao JF-Expert Member

  #6
  Jan 26, 2009
  Joined: Nov 26, 2007
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tiger Woods mama mzungu baba Muasia

  Hapa umechemsha! Baba yake Tiger Woods ni Mwamerika Mweusi na mama yake ni M-Thai.
   
 7. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #7
  Jan 26, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,566
  Likes Received: 18,529
  Trophy Points: 280
  It is a fact kwamba mama siku zote ndiye mlezi wa mtoto. Success ya mtoto kimaisha, ukiondoa the few exception ones, inategemea hali ya mama kiuchumi na kijamii. Most African cultures, baba ndio the provider na mama the recipient. Maana yake wamama wengi wa kiafrika wana hali ngumu kiuchumi ukilinganisha na wamama wa kizungu.
  Mfano huo nauleta Tanzania. Wanaume wengi wa Kitanzania waliioa wanawake wa kizungu, maisha yao yamenyanyuka. Ni mapoit five wachache sana wa wamama wa kizungu wanamaisha magumu bongo. Ni mapoit five wengi wa wamama wa kiafrika wana maisha magumu bongo.
  Kuna kautafiti kangu kadogo ambacho nimekafanya kwa macho tuu sio kwa maandishi.
  Wanaume wengi waliooa wanawake wazungu wakati walipokuwa masomoni ulaya na hatimaye kurudi na wake zao wazungu Tanzania. Karibu wote waliotoka nchi za ulaya zenye neeme, ndoa zao zimeishia kuvunjika na watoto wameishia kuondoka na mama na kulelewa maisha mazuri ulaya.
  Ndoa za wazungu zilizo salimika, ni za wazungu toka nchi za kijamaa, kina Prof. Sarungi, Mbilinyi, Sepetu, Malocho, Kimesera, Ntuyabaliwe etc na sababu kubwa, wanawake wazungu toka nchi za kijamaa ni wavumilivu kama ngozi nyeusi.
  Utafiti huo pia ukagundua, mwanaume mwafrika aliyeoa mzungu, akirudi bongo, anachachawa sana na ngozi nyeusi na lazima atatoka nje, hali inayopelekea mama mzungu kushindwa kuvumilia na kuishia kuvunjika kwa ndoa na mama mzungu kuchukua watoto ambao wanaendelea kupata maisha bora.
  Hali pia ndivyo hivyo hivyo kwa dada zetu wa ngozi nyeusi walioolewa na wazungu na kurudi kuishi bongo, huishia kutafuta ving'asti ngozi nyeusi to service them from time to time.
  Nb. Hii siyo scietific research, its only my observation.
   
 8. F

  Fundi Mchundo JF-Expert Member

  #8
  Jan 26, 2009
  Joined: Nov 9, 2007
  Messages: 4,706
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Haswa,Mkuu! Angalia Robert Nesta Marley alivyoishia kuvuta bangi na kupiga muziki! Baba angekuwa mweusi pengine angefikia hadi kuwa Tarishi Mkuu.

  Amandla.........
   
 9. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #9
  Jan 26, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Mama huwa ndiyo anayekaa na watoto muda mwingi na kumpa maadili/malezi mema.Inategemea huyo baba wa kizungu kamtoa wapi huyo mama.Nikiangalia bongo, aina ya wanawake wanaokuwa wamezaa na wazungu wengi wao wanatoka katika mazingira ya kutatanisha! Wale wanawake wenye misimamo yao kimaisha na kuzingatia maadili mara nyingi watoto wao nao hutoka watu!
  Msinichinje kwa hoja yangu... ndivyo nilivyoona kwa ninao wafahamu!
   
 10. Mwanamalundi

  Mwanamalundi JF-Expert Member

  #10
  Jan 26, 2009
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 3,034
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180
  Maadili/malezi mema??? Sio akina mama wote wanaoweza kuwapa maadili/malezi mema watoto wao!!! Mfano, kuna mahali niliona mama mmoja anamsifia mwanae kwa ujasiri wa kubugia chupa ya safari lagar.
   
 11. n

  nmkenda Member

  #11
  Jan 26, 2009
  Joined: Mar 6, 2006
  Messages: 11
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  you will need a sample of at least 5000 mixed race ppl to substantiate your theory.
  otherwise it is insignificant. No proof no right to speak.
  And what do you mean by black? any race which is not originaly from Europe?
   
 12. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #12
  Jan 26, 2009
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Hii siyo kwelu, ninafahamu watoto wengi sana waliozaliwa na mama wazungu na baba waafrika (wakimbizi kutokea afrika) ambao hawaonyeshi kuwa na future yoyote. Nadhani inategemea na personalities za wazazi wote wawili, siyo rangi ya ngozi ya mama.
   
 13. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #13
  May 16, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,437
  Likes Received: 19,789
  Trophy Points: 280
  yalivyo
   
 14. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #14
  May 16, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Have Mercy to our African Mothers please
   
 15. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #15
  May 16, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0

  we umezaliwa na mama mzungu?mwafrika?......
  km ni mwafrika ...umejiona una matatizo?
  kwa iyo waliozaliwa na mama wazungu wooooote hawana matatizo?na wote waliozaliwa na mama afrika wana matatizo?
  du ..nilikuwa nakuona una busara kdg kumbe....


  zngatia;
  mtoto kutokuwa na future/akili nzuri n other pbm HAITOKAN NA RANGI/UTAIFA AU UMASKIN UTAJIRI.....
  kuna sababu nyinginezo lakin swi km wewe unavyojaribu kupropagate apa

  mi nimezaliwa na mamablack n m so proud cz kanifundisha kuwa MTU wth utu.....na kanifundsha kujisimamia plus kuijua future na kuipangolia vyema

  ACHA KUTUKANA MAMA ZETU...africanmama ndo wa ukweli wwametulea katka mazngira magumu sana na bado wametufikisha apa tulipo.
   
 16. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #16
  May 16, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  R.I.P
  kupiga mzik ni kukosa maadili?
  kutokuwa na akil ya kufanya lingine?
  msg alizokuwa anatoa is more than being a banker,ingnia.....


  usidharau mziki ..SI WOTE WAMEFANYA MZIKI CZ hawakuwa na akili darasan...

  kuvuta bang si km huna akili....uyo bos wako ana bang kwenye walet....nenda kamkague km unabsha...
   
 17. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #17
  May 16, 2011
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Masa mbona jina lako zuri Ushi ulili tupilia mbali??
   
 18. escober

  escober JF-Expert Member

  #18
  May 16, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 391
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  what a hell is this thread doing here
   
 19. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #19
  May 16, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0

  n wat if mbaba mweusi na mmama teja la kizungu?
  mama anayejiuza?teja,....  uwez kugeneralize i issue uyu mtoa mada angesema peupe analenga nin
   
 20. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #20
  May 16, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  nashangaaaaaaaa!!
   
Loading...