Kamanda Mwema, unajua trafic Iringa, Mbeya wanamiliki tochi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kamanda Mwema, unajua trafic Iringa, Mbeya wanamiliki tochi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by JoJiPoJi, May 18, 2011.

 1. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,473
  Likes Received: 1,428
  Trophy Points: 280
  Wanajamii heshima sana!
  Kwa uchunguzi mdogo nilioufanya kwa kipindi cha mwezi mmoja nimegundua kitu cha aibu na cha kusikitisha sana kwa kikosi cha trafik hususan kwenye mikoa ya Iringa na Mbeya.
  Trafik katika mikoa hiyo wameanzia utaratibu wa kuchangishana pesa na kununua tochi pamoja na kutengeneza vitabu vya notification. Sasa hili ni hatari kwa kuwa mapato yanayopatikana kutokana na fine huwa haziendi mahali husika. Hili ni tatizo sasa tunaomba Jeshi la polisi kujiangalia na ikiwezekana wajisafishe
   
 2. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,473
  Likes Received: 1,428
  Trophy Points: 280
  Sasa wameamua kutochukua rushwa ila wameanzisha utaratibu wa kuiba!
   
Loading...