Jamani huyu babu kingunge ngombale kulikoni na ccm na uzee ule kweli au kuna chini ya kapeni wajemen | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani huyu babu kingunge ngombale kulikoni na ccm na uzee ule kweli au kuna chini ya kapeni wajemen

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LOOOK, May 18, 2011.

 1. LOOOK

  LOOOK JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,392
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  wajemeni naombeni mnisaidie nashindwa kuelewa huyu mzee kulikoni na na chama cha hawa mafedhuli sijajua anaumuhimu gani katika jamii hii kwani umri wake upo tamati sasa kulikoni mbona hawamuachii????
   
 2. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #2
  May 18, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,600
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  wazee wana umuhimu sana katika jamii, umekulia mtaani?

  ya ccm waachie wao utauliza vingi mno.......!

  Kikubwa never repeat such statement of discriminating elders, watu watadhani umekulia mtaani
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,499
  Likes Received: 19,913
  Trophy Points: 280
  kumbuka old is gold! kuna mtu tayari anatumia hiyo avator hapa !
   
 4. Mamushka

  Mamushka JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2011
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 1,609
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ni ngumu kujua umuhimu wake, wahusika ndo wanafahamu, usitake kujua itakuchanganya bure.
   
 5. mundo

  mundo JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 200
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  MWAMBIE TUTA MJM, abadilishe hiyo avatar
   
 6. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
  nasikia hiki kizee ni mpiga JUGNA nambari moja wa chama akisaidiwa na kale kazee ka mwembe-tea,hawawezi kumwachia mkuu wa kamati ya ufundi....
  .
   
 7. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #7
  May 18, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,648
  Likes Received: 4,754
  Trophy Points: 280
  Hiki kidingi ndiye israili wa magamba yeye ndiye hupanga nani auwawe na nani asiuwawe. Huoni hata sura yake ilivyokaa kuzimu kuzimu tu, kiovu sana kizee hiki.
   
Loading...