Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Developing story.... JESHI LA POLISI LAMSAKA KAPTENI WA MELI YA MV SPICE ISLANDER ILIYOZAMA BAHARINI Na Mohammed Mhina, wa Jeshi la Polisi-Zanzibar ZANZIBAR ALHAMIS SEPTEMBER 15...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hello Great thnkers? Nimekuwa nikijiuliza tabia ya mabasi yakifika kwenye MIZANI wanawaambia abiria washuke mpaka gari lipite na kurudi tena, au kusogea mbele gari ipite kwenye mizani kwanza. Je...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tumepata taarifa kuwa Smz imekataa misaada ya Vodacom, na tunaambiwa ofisi za Vodacom znz ziko mashakani Inaonekana kampeni ya kuisusia Voda imeshika moto, Mahmoud Thabit Kombo ndiye anayetumiwa...
0 Reactions
293 Replies
20K Views
Nanukuu gazeti la mwananchi la tarehe 15/9/2011: "Septemba 3, mwaka huu, Waziri Nishati na Madini, William Ngeleja, aliwaeleza waandishi wa habari kuwa makali ya mgawo wa umeme yatapungua kwa...
0 Reactions
0 Replies
979 Views
Wadau nimeona si vibaya kuweka hizi namba hapa, ili kila mmoja atakaependa aweze kuzisave kwenye simu yake kwa ajili ya dharura. Namba hizi ni za jeshi la polisi wa usalama barabarani. Kutokana...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Nimeshtushwa sana na taarifa kuwa serikali haimjui mmiliki wa meli ya M,V Spice Islander ambayo imepata ajali hivi karibuni.......akizungumza na waandishi wa habari waziri Mohamed Aboud...
0 Reactions
60 Replies
7K Views
Kama kawaida, vyombo vya dola vikiongozwa na polisi huko Geita vimeripotiwa kumuua mtu mmoja na kuwajarehi wengine kwa risasi za moto wakati raia hao wa kata moja ya Geita kuandamana kwa amani...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Meli iliongezewa urefu kienyeji ;inamilikiwa na kiongozi mmoja wa juu kisiasa visiwani; chanzo cha SUMATRA kupigwa vita visiwani ni ubovu wa meli nyingi huku; baadhi ya makapteni wa meli...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Namba za mabaharia wawili wa muda mrefu wa hii meli hizi hapa. +255773467746 na +255777899987. Huyu wa pili ni shujaa kati ya mabaharia kwani ndiye aliyepiga simu akiwa juu ya mlingoti wa meli...
0 Reactions
104 Replies
16K Views
Kwa hisani ya ZANTEL Zanzibar Update LIST OF SURVIVORS Zantel offers its deepest condolences to the Nation and all those affected...
7 Reactions
51 Replies
21K Views
Toleo la leo 'Mwananchi' kuna habari wameandika, 'Kigogo wa CCM mbaroni kwa tuhuma za mauaji ' lakini hawakumtaja jina, wanaogopa nini? Mbona gazeti la wenyewe wenye nchi wamemtaja? The Daily...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Wana JF, kutokana na ajali za kila siku za mabasi ya safari ndefu na dala dala mijini na hii ya meli zanzibara ninaomba nitoe hoja ifuatayo: SUMATRA ambao ni wenye jukumu la kusajili kutoa leseni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huko Tengeru Arusha, Binti mmoja wa miaka 33 amemuua baba yake na kumcharanga kwa panga na shoka vipandevipande kisha akamdumbukiza katika choo cha shimo siku ya Jumapili iliyopita. Alifikia...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Jamani nimeshitusha na habari zilizoko kwenye gazeti la Mwanahalisi la leo kuwa wauaji watarajiwa wa Dr Mwakyembe walisafirishwa na magari ya polisi, Vodacom, Caspian na serikali??? Jamani ina...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
waheshimiwa Salaam. Nilifika TRA kujiandikisha ili nipewe TIN kwa kupata Driving Licence mpya...nikaambiwa ni bure na ndani ya siku 7 naipata. Lakini tangu Mwezi wa sita nilikua nasumbuliwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanajamvi nimasikitiko yangu kwa nchi yetu hii ya TANZANIA kutokuwa na hata "kanyambizi kadogo tu!" hivi kweli nchi yetu hii inaulinzi gani madhubuti kiasi cha kujiamiki kutokuwa na nyambizi kwa...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
I wonder what real this motorcycle from china known as Toyo real is.why do they kill people,accident caused by TOYO have exceeding the normal rate,now when u go to the hospital u find a wod of...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimekuwa nikijiuliza kila mara niingiapo UBT (Ubungo Bus Terminal) alfajiri hadi saa 1 hivi asubuhi na kukuta msongamano mkubwa wa Mabasi yaendayo mikoani, magari madogo ya wasindikizaji, Taxi...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI13 / 09 / 2011 YAH: KUOMBA RADHI *KWA NDUGU ZETU WALIOPATWA NA MAAFA YA AJALI YA MELI HUKO ZANZIBAR Usiku wa kuamkia Jumamosi ya tarehe 10 / 09 2011 tukio kubwa na...
0 Reactions
171 Replies
13K Views
Back
Top Bottom