Gazeti la mwananchi vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gazeti la mwananchi vipi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LE GAGNANT, Sep 7, 2011.

 1. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Toleo la leo 'Mwananchi' kuna habari wameandika, 'Kigogo wa CCM mbaroni kwa tuhuma za mauaji ' lakini hawakumtaja jina, wanaogopa nini? Mbona gazeti la wenyewe wenye nchi wamemtaja? The Daily news wameandika, 'POLICE have arrested the CCM Rukwa Regional Ideology and Publicity Secretary, Mr Patrick Maufi (48), for allegedly beating his wife to death'.
   
 2. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,481
  Likes Received: 12,756
  Trophy Points: 280
  Duuuu kazi ipo!!! Lakini nji hii unaweza kuta sa hii yupo mtaani anagonga bia na kujisifu kuwa serikali ipo mfkoni mwake
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  basi kumbe jibu ulishalipata..

  na kingine hilo gazeti walishasema lina tabia za kimbea zaidi wakipewa 10000 wao wanaandika jinsi mtoa hela kawaambiaje..
   
 4. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mimi nilishaachaga kulinunua hilo gazeti toka mwaka jana, sana sana huwa nalinunua kwa ajili ya katuni za Masudi Kipanya.
   
 5. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  <br />
  <br />
  Ww unasomaga uhuru na mzalendo rafiki?
   
 6. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #6
  Sep 7, 2011
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Mbona hiyo ya kutotaja majina ndio zao kwa Mwananchi? Nimeishasoma mara mbili ama tatu ambapo Mtu amemfanya vibaya mtoto lakini jina lake linahifadhiwa nagazeti hilo huku magazeti mengine yakimtaja wazi!! Sijui ndio woga ama ni kutojiamini tu???
   
 7. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #7
  Sep 9, 2011
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Nadhani wamelewa umaarufu sasa wanajisahau..Hawajui kwa nini Gazeti lililokuwa linaitwa mfanyakazi na umaarufu wake miaka ya 90 limetoweka imebaki historia .Pia kwa nini nipashe linaporomoka kila kukicha...
   
 8. Nish

  Nish JF-Expert Member

  #8
  Sep 9, 2011
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 732
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  aise nipo sumbawanga jamaa kamuua mkewe baada ya kufuma sms za mapenzi ni hatari
   
 9. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #9
  Sep 9, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Unalinunua au hulinunui?
   
 10. N

  Ndumilakuwili Member

  #10
  Sep 15, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aaah kumbe amekuta sms za mapenzi, jamaa hana kosa, ni hasira tu!!!
   
 11. bennynho

  bennynho Member

  #11
  Sep 15, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hawakuwa na uhakika sana,thats y
   
 12. t

  tommey tom Member

  #12
  Sep 15, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli hata miimi nimesoma hiyo story hawajatoa jina kabisa hapo au ndo ule msemo uliosemwa kwamba kuna baadhi ya pesa zimeandaliwa na Chama Cha Mafisadi nchini katika uchaguzi wa Igunga kuwahonga waandishi?Nadhani itakuwa hiyo tuu haiwezekani wafanye upuuze kama ule jamani kwa Gazeti kubwa kama lile nchini
   
 13. t

  tommey tom Member

  #13
  Sep 15, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ajali ya Zanzibar wale wataalam kutoka South Afrika wamechemka bwana kisa kina kirefu si mchezo jamani kwa hiyo ndugu zetu bado wako kwenye maji huko chini hadi sasa.Hii ndo serikali tunayoikubali hadi sasa tutafanyeje kiasi kwamba hata nahodha hawamjui na mmiliki pia,tutatoka kweli hapo?
   
 14. t

  tommey tom Member

  #14
  Sep 15, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli hata&nbsp; miimi nimesoma hiyo story hawajatoa jina kabisa hapo au ndo ule msemo uliosemwa kwamba kuna baadhi ya pesa zimeandaliwa na Chama Cha Mafisadi nchini katika uchaguzi wa Igunga kuwahonga waandishi?Nadhani itakuwa hiyo tuu haiwezekani wafanye upuuze kama ule jamani kwa Gazeti kubwa kama lile nchini
   
 15. N

  Nguto JF-Expert Member

  #15
  Sep 15, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,652
  Likes Received: 627
  Trophy Points: 280
  I doubt that. Mwanachi ni gazeti makini!!
   
 16. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #16
  Sep 15, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Ahahahaaah!!!
   
 17. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #17
  Sep 15, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  uzandiki huu
   
 18. T

  Taso JF-Expert Member

  #18
  Sep 15, 2011
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,649
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 180
  Majuzi nilichana gazeti immediately niliposma ripoti yao ya timbwili la Makongoro Nyerere againts magamba. Wakasema "Makongoro ambae aliwataja kwa majina..." lakini Mwananchi hawakuwataja, I was like which dunderheads write the news in bongo? Makongoro aliwataja kwa majina, Nape aliwataja kwa majina, Chiligati aliwataja kwa majina, LOWASSA, CHENGE, ROSTAM...nini cha kuogopa?
   
 19. P

  Positive Thinker Senior Member

  #19
  Sep 15, 2011
  Joined: Nov 3, 2007
  Messages: 110
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wazee jamaa ananyie debe till now na issue hakuwa mke wake alikuwa ni mpango wa kando (nyumba ndogo yake) mke wake alifariki last 6 months
   
Loading...