Orodha ya Walionusurika ajali ya Meli Zanzibar

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Aug 9, 2007
18,709
8,802
Kwa hisani ya ZANTEL Zanzibar Update

LIST OF SURVIVORS

Zantel offers its deepest condolences to the Nation and all those affected.

In the interest of the general public, Zantel will be constantly updating this page with the list of Survivors as soon as we have more information.

*Update as per Mnazi Mmoja Hospital

ORODHA YA WALIONUSURIKA
Zantel inatoa salaam za rambirambi kwa wale wote waliopoteza ndugu, jamaa na marafiki katika janga hili.

Katika jitihada za kusaidia umma kwa ujumla, Zantel itakuwa ikitoa orodha ya majeruhi kadri ya majina yatakavyopatikana.

*Orodha hii ni kama inavyotolewa na Hospitali ya Mnazi Mmojas.


Sr.No.NameAge
1Omar Ali20
2Mudhir Kassim18
3Ismail Mohamed18
4Said Khamis35
5Abdallah Khamis20
6Florance Fusi49
7Ali Juma Omar19
8Said Asa44
9Badru Haji53
10Juma Bakar23
11Ame Iddi60
12Bakari Juma18
13Khamis Haji17
14Mohamed Juma15
15Amour Juma40
16Khamis Abdallah57
17Tahir Bakar17
18Suleiman Khamis14
19Nasib Muhidin21
20Omar Masoud18
21Shaib Juma25
22Juma Ali Hamad41
23Hamad Suleiman Hamad35
24Hamiyar Hadi28
25Yusuf Hamad14
26Rashid Abdallah30
27Mjaka Juma17
28Haji Khamis35
29Hamad Said34
30Adil Issa34
31Salim Juma30
32Kombo Omar16
33Khamis Rashid16
34Nassir Salim35
35Omar Yahya30
36Hamad Ali Hamad17
37Said Saleh25
38Nassor Ali25
39Masoud Said21
40Haji Ali32
41Abeid Abdallah30
42Ali Kombo22
43Hamad Dadi31
44Hafidh Said25
45Ali Hassan20
46Ali Vuai38
47Hemed Omar Mussa20
48Issa Abdi Issa37
49Yusuf Mbarouk30
50Mbarouk Hamad16
51Musa Hamad16
52Suleiman Said16
53Salim Ali34
54Masoud Musa42
55Yusuf Ame30
56Hemed Mbarouk27
57Abdallah Sichui35
58Ali Khamis Ali35
59Salim Said Mohammed13
60Asia Khatib22
61Badru Ali19
62Hamza Abdallah16
63Mohamed Juma16
64Othman Omar27
65Massoud Hamad15
66Jabir Ali16
67Machano Makame20
68Faisal Hussain18
69Hassan Ali21
70Hamad Juma Said16
71Issa Haji Said15
72Juma Saleh Juma38
73Hamad Mselem26
74Rashid Abdallah Rashid20
75Othman Sheha28
76Rashid Kibwana Mwinyi43
77Khamis Ali Masoud19
78Abeid Bakar Abeid20
79Nassor Hamad Shoka60
80Ali Kalio Mosi28
81Hamad Ally Hamad17
82Ali Hamadi Kibano53
83Abdallah Ali Hamad13
84Mohammed Ali Omar34
85Juma Idi Juma55
86Said Ali Hassan43
87Seif Makame Bakar18
88Juma Omar Juma25
89Hatibu Muhidini Nasibu21
90Hafidh Said Omar23
91Bakari Ali Abdallah19
92Said Haji Said37
93Omar Masoud Rashid18
94Khamis Juma mohammed14
95Said Rashid Mohammed57
96Khamis Mbawana Omar24
97Ali Said Ali38
98Arafat Ali Arafat21
99Matar Hamad Said35
100Mcha Ali
101Othman Hamad Alawi37
102Masoud Ali Rashid40
103Bakar Faki Hamad14
104Faisal Hassan Khamis19
105Hamad Mbarouk Juma18
106Issa Said Issa15
107Ismail Mohammed Abrahaman18
108Shamata Ali Said22
109Khamis Ali Bakar19
110Salum Abdallah Nassor16
111Juma Mohammed Juma60
112Kheir Salum Omar13
113Omar Juma Musa16
114Shaame Ali Shaame12
115Nassor Shaibu Nassor14
116Mbarouk Hamad Mbarouk27
117Yahya Hussain Kombo15
118Khamis Mohammed Khamis34
119Hemed Abdallah Hemed16
120Amour Ali Mohammed9
121Khamis Juma Mjaka33
122Said Abushir15
123Juma Khamis Juma13
124Juma Abrahman Mohammed15
125Said Omar Kombo
126Said Ali Makame13
127Hassan Ali Shaame21
128Mohammed Ali Lada49
129Juma Rashid Kombo15
130Sharif Dadi Khamis11
131Mbarouk Hamad Khamis14
132Abdulaziz Abou-mnamengi21
133Faudhan Ali Mohammed11
134Adil Ame Said11
135Said Seif Said17
136Ali Khamis Hamad12
137Abdallah Ali Hamad13
138Khamis Kassim Tungi16
139Salma Mohamed Haji21
140Hamida Ali Yusuf45
141Mshanga Khalid Juma26
142Latifa Khamis Omar14
143Mwanamkuu Kombo Omar53
144Mosa Mohammed Khamis12
145Salma Nassor Said15
146Amina Ali Muhina33
147Abdu Said Khamis17
148Sheikha Nassor
149Abdallah Humoud Khamis14
150Said Omar Mohammed14
151Nasra Aman Khamis17
152Raya Masoud Ali23
153Safia Said Salum10
154Samia Issa Ali15
155Chum Hamad Makame40
156Asha Ali Said47
157Mafunda Abdallah Omar25
158Hadia Ali Rajab20
159Time Hamad Issa30
160Bishara Suleiman Mussa14
161Fatma Hamad Mohammed36
162Hadia Ali Rajab20
163Mafunda Abdallah Haji47
164Haidham Rashid Said14
165Aze Faki Chande27
166Mwanahija Khamis Simai22
167Fatma Ali Mussa24
168Laila Mohamed Khamis11
169Asha Mzee Omar19
170Samira Khamis15
171Salma Masoud20
172Hairat18
173Jamila Silima Khamis25
174Maryam S Juma6
175Saade Hassan Bakar
176Hajra Hassan Bakar
177Aze Kombo35
178Yusuf Mbarouk30
179Khalid Joseph41
180Ibrahim Issa chande14
181Khamis Ali Habib17
182Jamal Mohd Ameir14
183Salim Mbarouk13
184Moza Mohd12
185Suleiman Khamis Soud12
186Sabra Hamad Kombo13
187Ali Hilal 14
188Said Mohd Masoud13
189Abdalla Hamad Khamis14
190Said Omar14
191Ali Ramadhan Hamad13
192Abdalla Ramadhan Abdalla14
193Mam Said Juma3
194Husna Suleiman 12
195Safia Said 10
196Saum ISSA15
197Mustafa Abdala Juma16
198Wardat issa Khamis12
199Fatma Mussa Omar12
200Mchana Abdalla Ali13
201Hamad issa Khamis12
202Salma Mohd13
203Iman Idiria Khamis7
204Time Makame Omar13
205Hajra suleiman10
206Khairat Hamad 12
207Nahida Hemed Juma12
208Fatuma Abdalla Hamad 9
209Shaame Abdalla Suleiman12
210ismail Othamn Hamad12
211Ashraf Khati Ali13
212Sleiman Said Ali9
213Adam Ali Kombo18
214Rashid Ali kombo15
215Ahmad Abdalla13
216Salima Amour Abrahman13
217Adil Ali Abdalla9
218Aley Hussein16
219Abdallah Seif Abdallah12
220Ibrahim Hamad Shehe12
221Bakari Ali Makame16
222Abdulwahid Sharif13
223Nasir Saib Nassor14
224Saade Abdallah Juma13
225Harith Haji Khamis11
226Fatma Juma Rashid12
227Fauzia Kombo Makame12
228Juma Omar Juma14
229Salim Badru Abdallah13
230Ashraf Saleh Kombo11
231Abubakar Salum Said11
232Mshanga Hator Ali14
233Suhaila Kombo Hussain10
234Awena Ali Khamis6
235Khadija Ali Sharif12
236Said Abdallah Mohammed12
237Mosa Khamis Nassor11
238Siti Hamad Abdallah14
239Aisha Seif Mussa10
240Samira Mbanwa12
241Nassor Salim Mbwana12
242Auhat Omar Mussa10
243Rabia Hamad Simai
244Alawi Mwinyi Suleiman18
245Fahmi Hemed Salum16
246Juma Saleh Juma34
247Mohammed Omar Ali40
248Ibrahim Mohammed Ibrahim30
249Mmanga Khamis Seif18
250Mohamed Said Kisiwa18
251Thinei Omar Thinei19
252Juma Mbarouk Juma19
253Hamad Juma Mbarouk22
254Musa Seif Said15
255Hamad Suleiman Juma43
256Ame Mbai Ame34
257Haji Omar Juma36
258Ali Mohamed Ali24
259Said Issa Juma
260Abdallah Saleh
261Hamad Juma Issa42
262Khatib Juma Kombo23
263Mohammed Mussa Said26
264Makame Ali Seif23
265Bakar Mussa Said27
266Fadhil Shineni Kombo40
267Kundi Omar Faki 31
268Rashid Khamis Ali19
269Makame Juma Makame52
270Othman Maalim Haji47
271Maulid Mjaka Shamtana52
272Mohamed Idrisa Abeid35
273Hamad Issa Hamad23
274Khamis Ali Juma23
275Ali Yusuf Mohamed21
276Amour Seif Hamad41
277Omar Bakar Saleh36
278Khamis Hamad Said41
279Omar Juma Faki29
280Issa Khamis Hamad25
281Othman Juma Hamad14
282Ibrahim Mohammed Abdallah
283Ali Yusuf21
284Ali Mngwali Juma65
285Seif Mohamed Salim
286Sahran Omar Hamad
287Suleiman Khamis Soud
288Rashid Hamad Khamis27
289Gharib Salim Hassan
290Salum Hamad Omar24
291Khamis Hassan Kombo
292Sharif Ali Masoud
293Salum Suleiman Ameir
294Suleiman Rashid Mbarouk
295Mohammed Zubeir Hamad
296Khamis Ali Khamis32
297Juma Habib Mbarouk
298Omar Hassan Haji42
299Mohamed Ramadhan Musa
300Abdul Haji Abdallah
301Rashid Khalfan Rashid
302Yusuf Kassim Hussain
303Nassor Kassim Hussain
304Said Juma Maulid
305Khalid Hamad Juma
306Aboubakar Khamis14
307Ibrahim Hamad12
308Fatma Said10
309Fauzia Kombo12
310Suleiman Ali Mkubwa21
311Mohammed Omar24
312Yusuf Juma14
313Khairat Seif Fadhil
314Sabrina Shaame
315Abdallah Ali13
316Nassor Shaib14
317Salim Khamis Ali14
318Khadija Ali Sharif12
319Yahya Hussain Kombo15
320Yahya Ishaka Omar6
321Seif Simai
322Said Abdallah Ali16
323Adam Ali Kombo15
324Warda Issa Khamis12
325Hemed Abdallah Hemed
326Suleiman Salum Mohammed
327Sharifa Dadi Khamis
328Fatma Salum Ali10
329BUBU (Hasemi Jina Halikujulikana)
330Harith Haji Khamis11
331Ruwaida Ali Omar
332Sauhat Abdallah Ali
333Abdul Sharif
334Salum Badru13
335Seif Suleiman
336Mshanga Abdallah Ali
337Mohammed Ali Mohammed
338Aiman Idrisa7
339Juma Yusuf Salum7
340Adil Issa Omar34
341Massoud Said Rashi21
342Ali Kombo Haji22
343Nassor Salum Seif25
344Asa Kombo Hamad36
345Hamad Omar Issa
346Hamiar Haji Humoud21
347Haji Khamis Haji37
348Amina Hamad Mohammed21
349Maryam Ali Juma25
350Sada Maulidi Simba30
351Saada Yakub Suleiman36
352Firdaus Khamis Nasuha12
353Salma Khatib Mwinyichande12
354Zainab Abdallah Ali55
355Chumu Kombo Hamad16
356Fatma Shaame Mbarouk15
357Fatma Kombo Haji15
358Risiki Shaame Abdallah10
359Sabra Zubeir Billal14
360Asha Suleiman Ali16
361Mtumwa Makame Mdungi46
362Ruwaida Ali Omar9
363Zuhura Juma Seif24
364Helson Peter Haale1
365Sesilia Piu Mkama26
366Niwe Hamad Mkadam22
367Mshanga Said Abdallah27
368Latifa Abdrahaman Omar17
369Khairat Hamad Khamis13
370Zuhura Ali Majaaliwa13
371Mpaji Hasa Bakar12
372Fatma Issa Shamata15
373Saida Ali Mbwana25
374Zawadi Juma Hatibu18
375Rehema Salim Suleiman21
376Mwanaisha Ali Mbarouk17
377Fatma Ibrahim Ussi21
378Chum Hamad Chande58
379Mtumwa Juma Maalim 29
380Tauhida Omar Mohamed23
381Hadia Haji Shamata35
382Khadija Omar Juma14
383Rihana Khamis Juma13
384Salma Khatib Mwita12
385Saada Hassan Bakar21
386Hamida Mwalim Ali26
387Asha Issa Musa29
388Suleiman Said Suleiman
389Sada Muntar
390Salum Juma Masoud
391Seif Mohamed Salum
392Hamad Khamis Issa
393Bakar Othman Abdallah
394Mfaki Kheir Dawa
395Said Abdallah Seif
396Omar Hayam Khamis
397Nassor Khamis
398Thinei Omar Thinei
399Amour Ali Hamad
400Juma Mbarouk Juma
401Ame Mbae
402Arif Shekh Arif
403Said Issa Juma
404Abdallah Saleh
405Abdu Shakur
406Hamad Juma Mbarouk
407Juma Omar Hamad
408Hussain Rashid Fadhil
409Hamad Kombo Khamis
410Mohamed Ramadhan Musa
411Omar Ali Rashid
412Rashid Khalfan Rashid
413Alawi Mwinyi Suleiman
414Salum Khamis Shaame14
415Ali Ngwali Juma75
416Juma Iddi Juma80
417Nassor Omar Hassan18
418Mbezi Wilbadi39
419Zaharan Omar Hamad28
420Khamis Mohamed Khamis34
421Othman Hamad Alawi37
422Seif Makame Bakar18
423Gharib Ali Hamad17
424Said Abdi Bushiri15
425Mzee Fadhil Abas30
426Ali Said Ali38
427Khamis Juma Mjaka33
428Juma Omar Juma23
429Masoud Ali Rashid 46
430Haji Said Bedui45
431Khamis Kassim Khamis16
432Ali Khamis Hamad14
433Khamis Ali Bakari19
434Mbarouk Hamad Khamis14
435Juma Khamis Juma13
436Said Haji Said37
437Said Ali Hassan43
438Mohammed Rashid Khamis21
439Said Seif Said17
440Khamis Juma Mjaka33
441Yasir Ali Salum11
442Ali Ame Said11
443Mcha Ali Salum77
444Mwinyi Bakari Saburi80
445Othman Daru Othman28
446Seif Suleiman Ali 25
447Said Ali Hassan43
448Juma Mohamed Juma60
449Farid Aboud Talib28
450Said Omar Kombo45
451Fatma Ibrahim Ussi20
452Hamed Ali Omar27
453Hamis Mbwana Omar24
454Said Ali Said18
455Ali Hamad Kibano53
456Foum Saleh Ali42
457Abdallah Mohamed Ali30
458Khamis Ali Bakari79
459Kheir Salum Omar13
460Hamad Mbarouk Juma18
461Amour Ali Mohammed9
462Abdi Ali Said11
463Said Rashid Mohammed57
464Askari Shaame Kai54
465Omar Juma Musa16
466Mbarouk Hamad Mbarouk27
467Khamis Mohamed Khamis24
468Fatma Salum Ali10
469Salum Hamad Nassor12
470Abdul Ali Issa8
471Abdul Fatah Ali7
472Said Omar Rajab40
473Khamis Suleiman Said25
474Khamis Hamad Hilika27
475Bakar Makame Haji47
476Juma Yusuf Juma14
477Abdulaziz Aboumengi21
478Ali Saleh Ali35
479Khamis Mohamed Khamis31
480Ali Mohamed Hamid18
481Yasir Hamad Kombo15
482Salma Mohamed Haji20
483Hamida Ali Yusuf45
484Mshanga Khalid Juma 26
485Latifa Khamis Omar14
486Mwanamkuu Kombo53
487Mosa Muhammed Khamis12
488Salma Nasor Said15
489Amina Ali Muhina33
490Abdu Said Khamis17
491Sheika Nassor
492Abdallah Humoud Rashid14
493Said Omar Mohammed14
494Nasra Aman Khamis17
495Raya Masoud Ali23
496Safia Said Salum10
497Samia Issa Ali15
498Chum Hamad Makame40
499Asha Ali Said47
500Mafunda Abdallah Omar25
501Hadia Ali Rajab20
502Time Hamad Issa30
503Bishara Suleiman Musa14
504Fatma Hamad Mohammed36
505Hadia Ali Rajab20
506Mafunda Abdallah Haji47
507Haitham Rashid Said14
508Azee Faki Chande27
509Mwanahamis Simai 22
510Fatma Ali Musa24
511Asha Mzee Omar19
512Layla Mohamed Khamis11
513Samira Khamis15
514Salma Masoud20
515Khairat 18
516Jamila Silima Khamis25
517Maryam S Juma6
518Saade Hassan Bakar
519Hajra Hassan Bakar8
520Nayla Mohammed Khamis11
521Abeida Said Khamis17
522SALEH ABDALLA SULEIMAN
523RAMADHAN HAJI KHAMIS
524ABRAHMAN ABDALLA AZIZ
525MBASO HAMAD MAKAME
526NASRA MUHSIN AHMAD
527MOZA RASHID SALIM
528SHARIF JUMA SHARIF
529SALEH OMAR UBWA
530RAHMA SALIM ZAID
531TWAHIR IDD SAID
532SALIM MBAROUK JUMA
533MOHAMED KHALID SAID
534KHAIRAT HILAL ALI
535SABRA MOHAMED SAID
536FATHIYA NASSOR ALI
537NASSOR HAMAD JUMA
538NASSOR ISMAIL MASOUD
539SALIM SHEHE HAJI
540AYYAN KHAMIS AYYAN
541OMAR MOHAMED SALIM
542KHAMIS JABU FAKI
543BAKARI SALI SEIF
544JASTINE KESI SOLE
545KHAMIS ALI SEIF
546KHATIB HAJI KHATIB
547MAULID KHAMIS JUMA
548BAKARI SHEHA OTHMAN
549MASOUD ALI HAMAD
550MASOUD JUMA MASOUD
551MOHAMED ALI SULEIMAN
552HUSEIN HAMAD
553ALI KASSIM ALI
554MOHAMED BAKARI KHAMIS
555ALI OMAR HAMAD
556KHAMIS OMAR MBAROUK
557JUMA HAMAD SHEHA
558ALI HAMAD JUMA
559HADIA KHAMIS SIMAI
560MARYAM MURADI SAID
561MSHAMATA HASSAN SHAMATA
562HAMAD ABDALLA MOHAMED
563MUSSA KHAMIS MZILI
564JUMA FAKI OMAR
565TWAHIR IDRISA IDDI
566JUMA SAID ALI
567ALI KHAMIS JUMA
568OMAR JUMA KHATIB
569HAMIAR HAMAD ALI
570OMQAR HIJA BAKAR
571SALEH ABRAHMAN JABIR
572SAID BAKAR
573ABUBAKAR MOHAMED BAKAR
574SEIF SAID OMAR
575MAKAME SHARIF HAMAD
576MAULID HAMAD OMAR
577DADI ABDALLA ALI
578SAID ISSA KHAMIS
 

Somoche

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
5,535
4,860
Nimeangalia channel 10 saiv shuhuda mmoja kasema meli ilikua na watu elf tatu 3000 yani nchi hii imelaniwa hivi kweli watu elfu tatu kwenye kimeli kidogo tu!!! sijui wanatoa kafara ama?!! kwanini waziri husika hajajiuzulu?!!
 

Nsiande

JF-Expert Member
Jul 27, 2009
1,649
856
Oh kuna Helson Haale only 1yr old and survived! Nilichonote wanaume wengi wamenusurika jamani...acheni Mungu aitwe Mungu
 

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,875
1,213
watu elf 3 wote hao walienda kura iddi,huko walikotoka palikuwa peupe.Watu elf 3 ni matango pori.
 

mashikolomageni

JF-Expert Member
Jan 5, 2010
1,568
185
Je waliotamgulia mbele ya haki maana kuna MANIFEST ambayo hutakiwa kutolewa at Port of Exit n a nakala kubaki nayo hapo baandarini inasemaje abiria walio abiri walikuwa wangapi?
 

Mwawado

JF-Expert Member
Nov 2, 2006
995
241
Mbona takwimu zinagongana.Bado haijajulikana Meli hiyo ilikuwa na abiria wangapi? Serikali ya Mapinduzi imetangaza kuwa meli ilikuwa na watu 600 na waliofariki ni 45.Hapa Hospitali ya serikali Mnazi mmoja inatoa majina ya waliookolewa 578 kwa hesabu ya haraka haraka inaonekana idadi ya waliokufa ilipaswa iwe 22.Kule Reuters wametangaza waliopoteza maisha ni 192.BBC wanasema waliopoteza maisha wanakadiriwa kuwa 150.Kitengo cha maafa kitoe idadi kamili ya waliofariki na majeruhi.Mwenyezi Mungu awalaze salama wote waliopoteza maisha na pia hawape ahueni wale wote walionusurika.
 

MJIMPYA

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
502
267
Nimeangalia channel 10 saiv shuhuda mmoja kasema meli ilikua na watu elf tatu 3000 yani nchi hii imelaniwa hivi kweli watu elfu tatu kwenye kimeli kidogo tu!!! sijui wanatoa kafara ama?!! kwanini waziri husika hajajiuzulu?!!

Mkuu punguza jazba!
Wewe raha yako upate issue ya kulalamika tu. shuhuda inaweza kuwa ni panic tu anataja any figure.
Try to control ur emotions.
 

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
66,110
126,528
Nimeangalia channel 10 saiv shuhuda mmoja kasema meli ilikua na watu elf tatu 3000 yani nchi hii imelaniwa hivi kweli watu elfu tatu kwenye kimeli kidogo tu!!! sijui wanatoa kafara ama?!! kwanini waziri husika hajajiuzulu?!!
<br />
<br />
aliwahesabia wapi?
 

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,877
6,831
Idadi ya walionusurika ni kubwa sana hadi hapa inakaribia watu mia 600, na kuna waliopoteza maisha. Je meli hiyo ina uwezo wa kubeba abiria wote hao pamoja na mizigo?
 

AirTanzania

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
1,139
1,032
Mi nilizani watasema watatoa huduma za simu bure ili waliofiwa wapate kuwasiliana, kumbe wanatoa oroza. Kama nchi nyingine linapotokea matatizo kama hayo huwa wanaofa wateja wao simu kupiga bure kwa siku nzima. Mmm haya twendeni tutafika
 

spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,594
3,215
GreatThinkers,
For your informations
Ili meli iendelee kuelea bila kuzama ni lazima uzito(Mass) wa meli gawia ujazo(volume) jibu lako liwe chini 1g/cm3.
Kiongozi Mkuu na mtoa maamuzi yote ktk meli ni kepteni.(Nahodha)
Kepteni anawajibika pia ktk upangaji wa mzigo upi ukae wapi au hata kukataa kujaza mizigo zaidi.
Je wataalamu wetu hawa wana mamlaka hayo wanayo kivitendo au wanasiasa/wamiliki na wafanyabiashara ndiyo waamuzi katika hayo?
Kwa nini hatujifunzi yaliyotokea ziwa victoria?
ufike wakati tuachie wasomi na wataalamu wetu wafanye kazi kwa uhuru, siasa iwe na kikomo.

Poleni sana ndg zetu.
 

Zawadi Ngoda

JF-Expert Member
Aug 13, 2009
3,295
1,332
Tanzania imepata msiba mkubwa. Napenda kutoa salaam za Rambi rambi kwa ndugu, jamaa na marafiki wa wale wote waliofiwa na ndugu zao. Mwenyeezi Mungu awalaze pahala pema peponi.

Kwa wale waliojeruhiwa, namuomba Mwenyeezi Mungu awape ahueni haraka n awape nguvu ya kuushinda mtihani huu mkubwa.
 

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,875
1,213
waokoaji ktk south wamekili kuonekana kwa mait nyingi chini ya meli,wakitoka hawaweza kuzikwa na nduguzo tena bali makaburi 130 yamechimbwa Nungwi kwa maziko.
Source-TBC LIVE,
Mfiwa-Said mwamed ali.
 

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,711
7,151
Watanzania tunakwisha,tunauwawa kama kuku ...magari,bodaboda,polisi na sasa meli tena,meli tena??Ehe Mungu tuondolee watawala hawa wauaji taifa letu linaangamia
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

7 Reactions
Reply
Top Bottom