Toyo

Edwiny

Member
Jun 14, 2011
35
1
I wonder what real this motorcycle from china known as Toyo real is.why do they kill people,accident caused by TOYO have exceeding the normal rate,now when u go to the hospital u find a wod of people with no leggs because of this TOYO.Was this brought in Tanzania to kill people?jamii people can u think about this?
 

Mwalimu

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
1,559
1,032
Kwani ni TOYO zinazoua au madereva uchwara wa pikipiki wasio hata na leseni wanaosababisha maafa?
 

NG'ADA

Senior Member
Sep 2, 2011
152
15
hatuna watu wenye uelewa wa kuendesha pikpik...na wamechukulia kama pikpik ni chombo ambacho hakihitaji ujuzi!!WRONG!! dogo ameacha shule, akiwa form one, unakuta anaendesha TOYO..kala round mbili uwanjani..cku moja tu, kesho yake unamkuta anabeba abiria...kwa iyo mchina hana dhambi katika hili..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom