Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,088
- 6,383
Hivi katika akili ya kawaida tu unadhani ulipaswa kuanzisha hii thread? unapozungumzia picha siku zote ni lazima uiweke hapa ili mtu aone na atoe comments zake, otherwise hii thread ni crap.Ndugu wanajamii,
Kuna suala linanitatiza juu ya picha itumikayo kuonyesha meli ys Mv. Spice Islander.
Binafsi natatizwa na mambo matatu juu ya hii Picha (bahati mbaya simu imeshindwa kui-paste hapa),
1. Meli ilipinduka majira ya Saa 8 za usiku na kuzama kama saa 10 au 11 za alfajiri, kwa maoni yangu sidhani kama picha itumikayo inaonyesha kupigwa muda huo,
2. Wanaoijua wanasema meli ni nyeupe yote bila hii rangi ya Bluu kwa Chini,
3. Hata pembeni ingawa maandishi yake hayaonekani vizuri lakini hayawezi kua Spice Islander,
Naombeni msaada wenu juu ya huu utata wa hii picha kama kuna mwenye ufafanuzi zaidi!
Wacha kukurupuka wewe,Hivi katika akili ya kawaida tu unadhani ulipaswa kuanzisha hii thread? unapozungumzia picha siku zote ni lazima uiweke hapa ili mtu aone na atoe comments zake, otherwise hii thread ni crap.
Ndugu wanajamii,

Kuna suala linanitatiza juu ya picha itumikayo kuonyesha meli ys Mv. Spice Islander.

Binafsi natatizwa na mambo matatu juu ya hii Picha (bahati mbaya simu imeshindwa kui-paste hapa),

1. Meli ilipinduka majira ya Saa 8 za usiku na kuzama kama saa 10 au 11 za alfajiri, kwa maoni yangu sidhani kama picha itumikayo inaonyesha kupigwa muda huo,

2. Wanaoijua wanasema meli ni nyeupe yote bila hii rangi ya Bluu kwa Chini,

3. Hata pembeni ingawa maandishi yake hayaonekani vizuri lakini hayawezi kua Spice Islander,

Naombeni msaada wenu juu ya huu utata wa hii picha kama kuna mwenye ufafanuzi zaidi!
Yaani wewe dogo unadhani humu wote ni walevi wenzako?..............Wacha kukurupuka wewe,
Hivi nawe kwa akili ya kawaida unadhani ulipaswa kuijibu hii thread?
Nimeshatoa sababu kua simu nayotumia imeshindwa kuiweka hii Picha hapa,
But nikiamini kabisa hii picha imesambaa kila mahali na kila mtu atakua anaifahamu,
Unakurupuka tu na pombe zako kichwani unakuja ku-comment vitu visivyo na maana!!
Tunapochangia tuwe na uhakika na kile tunachokisema, iliyozama ni meli ya mizigo na sio passenger cruise. angalia tena vizuri ndio utajuwa tofauti ya hizo meli, moja ni cargo ship, na nyingine ni passenger shipni kweli kwa picha inaonekana iliyozama sio spice islander,ni trans asia.
nachoweza kushawishika hapa labda spice islander ni kampuni ya trans asia shipping,hivyo walikuja kuweka chata hiyo baadae.