Kwa waandishi wa habari na wanaharakati.

Damson88

JF-Expert Member
Jul 29, 2011
259
24
kuna taarifa za mgomo wa wafanyakazi wa kitengo fulani hapa chini kesho hiyo. Mwenye kutaka tuiweke wazi hii naomba tuwasiliane kwa taarifa zaidi ili tukomeshe ufujaji wa mali za umma
 
Acha uoga wewe kama unauhakika na habari yako kwa nini iwe siri?
mpaka imekufikia wewe je ni wangapi tayari wanaijua?
weka hadharani where we dare to talk openely.
 
Back
Top Bottom