Wachaga hangaikieni mlima wenu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wachaga hangaikieni mlima wenu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by rosemarie, Oct 24, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  wizara imewasusia kuhamasisha watanzania kupigia kura mlima
  wakuu wachaga mnasemaje kwenye hilo>?mnakubali wizara na waziri wake wawafanyie hivyo?
  chezeni wenyewe kwa sababu mnaweza,tunawakubali
  msikubali hii chance adimu iwatoke
   
 2. O

  Omr JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wao akili yao ni mbege na CDM, huo mlima hawana hata habari nao
   
 3. M

  Marytina JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  kwa maslahi ya nani???
  mimi naona bora uzaliwe mkoa jangwa usio na madini wala kivutio chochote maana hawa wanaoitwa wawekezaji wanajawapora eneo lenu kwa msaada wa serikali ya ccm.

  i so happy mkoa wangu hauna chochote zaidi ya mamba na samaki wacheche so tutaendelea kimiliki ardhi.
   
 4. M

  Marytina JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  ok wewe wa akili za madrasa na ubwabwa?????????mumeiendeleza sana mikoa yenu
   
 5. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  hivi huyu waziri wa hii wizara kabila gani?hapendi wachaga?
   
 6. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ndio mwisho wa upeo wako kufikiria..
   
 7. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  huyo ni msukuma na wewe unaonesha wazi kabisa ni mchaga..
   
 8. M

  Marytina JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  hata kama huu mlima ukawemo kwenye list bado pesa itaelekea mifukoni kwa mafisadi so hamna faida tutakayopata
   
 9. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  labda boss wake kamwambia apotezee kiaini
   
 10. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,521
  Likes Received: 5,752
  Trophy Points: 280
  Huo mlima tunakula??we acha ongelea njia za panya ununue sukari 5000
   
 11. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #11
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kudos mzee wa ndembendembe..
   
 12. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #12
  Oct 24, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huu mlima ni mali ya wakenya ndio walio bize kuutangaza. Ishu siyo wachaga kama unavyotaka kutuaminisha hapa.
   
 13. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #13
  Oct 24, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Nimeshapiga kura yangu tayari
   
 14. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #14
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  wachaga mnasusiwa kwa sababu ya itikadi zenu za siasa,hamjuwi???????
   
 15. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #15
  Oct 24, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,120
  Likes Received: 6,600
  Trophy Points: 280
  mengi aupigie kura yeye ndo anayechota huko maji na kuja kutuuzia huku mjini.

  mimi najua tembo huwa wahashuka kutoka kule mlimani kila mwaka na kuja kuharibu mashamba na kuuwa watu.

  kama vipi kenya wauchukue tu.
   
 16. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #16
  Oct 24, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,255
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  tunataka source please kuthibitisha madai yako!
   
 17. Jembe Ulaya

  Jembe Ulaya JF-Expert Member

  #17
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 27, 2008
  Messages: 456
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nadhani ni bora Watanzania wote tuhangaikie huu mlima usiendelee kuharibika. Barafu ikitoweka hautakuwa na mvuto tena hata kama tukiupigia kura na ukashinda.
   
 18. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #18
  Oct 24, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanataka tupige kura ili wakenya wafaidi kura zetu! Akk'aa!
   
 19. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #19
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  ule mlima wetu wakenya wanaibia,kama huamini subiri ccm itoke madarakani ndio utajua
   
 20. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #20
  Oct 24, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sitaki kufanya kitu chochote kinachohamasishwa na hawa wezi. Wametorosha wanyama hadi magogo? Wanatuambia tupigie kura huu mlima ili waendelee kuneemeka wao? Ni bora wafaidi wakenya ambao hata bidhaa wanatengeneza na kutuuzia kuliko haya madudu-watu yanayojali matumbo yao na malaya zao. Acha wakenya waupigie kampeni na waupigie kura
   
Loading...