Kuna umuhimu ya Libya nato wayafanye Tanzania?

KALYOVATIPI

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
1,414
197
mambo wana jf? Nlikuwa nafatilia sababu za vita ya walibya na nikajiuliza kwa wizi wa kura wa ccm,(ambao ni sawa na udikteta) kutotoa huduma muhimu kwa raia,haki za raia kupuuzwa,ufisadi na rushwa na mengine mengi. Je ya libya watz hatuyahitaji?
 
Kama unatamani ya Libya yatokee Tanzania, inaonyesha hauna akili timamu.
 
mambo wana jf? Nlikuwa nafatilia sababu za vita ya walibya na nikajiuliza kwa wizi wa kura wa ccm,(ambao ni sawa na udikteta) kutotoa huduma muhimu kwa raia,haki za raia kupuuzwa,ufisadi na rushwa na mengine mengi. Je ya libya watz hatuyahitaji?

una pesa ya kuilipa NATO?, si umesikia wanadai pesa zao huko Libya!
 
before war in libya, hakuna nchi au shirika lilikuwa linaidai libya hata cent moja!sasa hawa nato wamepiga na wanadai sasa sijui kulikuwa na agreement ya kulipwa soon after work?

Sijui ila huu uhuni lazima ukomeshwe ingawa sio an overnight event ila lazima hizi issue tuziadress kwa wadogo zetu wakue wanajua uonevu unaofanywa na hawa watu kwa taamaa za duniani!!!

NATO YA TZ NI SISI WENYEWE!HATUNA WA KUTUSAIDIA, NATO HAWAWEZI KUJA HALI VIONGOZI WENU NDO MADEMU ZAO SASA UNAFIKIRIA WATAANZIA WAPI KUJA HALI MATAKWA YAO YOTE YANATIMIZWA NA MAGIRLFRIEDS WAO?
 
Usitegemee hata siku moja Nato na US kuja kuwasaidia watanzania..wewe unajua kama Migodi yote hapa Tanzania ni ya hao wazungu wa Nato na US?

Mzungu ana cha CDM wala CCM wao wanataka mali tu
 
nato ije kwa faida ya nani? IMEANDIKWA JISAIDIE NAMI NITAKUSAIDIA SIO USUBIRI MSAADA WA NATO
 
una pesa ya kuilipa NATO?, si umesikia wanadai pesa zao huko Libya!

Kwa jinsi tunavyofanywa na mafisadi,hela ya kuwalipa itapatikana baada ya kuwamaliza na kuzisachi ACC zao,tutawalipa na chenji itabaki tena nyingi tu.
 
Back
Top Bottom