Malaria Sugu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 2,653
- 264
nilmetapeliwa na kampuni ya simu ya TIGO katika huduma zake. nimejaribu kuingiza pesa ktk line ya Tigo iliosajiliwa ili kupata huduma ya LIGHT DAY INTERNER kupitia MODEM ya TIGO. nimeingiza Pesa ili kupata hudumua ya s 3000 kwa kutumia 0654663725. wameniambia nimejiunga na kifurushi cha internet wamezila pesa zangu huduma hawataki kunipa eti wanananipa msg ya siwezi kukunnect . Baya zaidi nilipoitia hiyo line ktk simu na kunza kuwapigia kwa 0713800800 hawapokei lkn juu ya kutokupokea lkn wanazidi kuzikata pesa zangu. nimepiga zaidi ya dakika 30 lkn sipati huduma na pesa wanakula.
Nipo mbali na OFISI za TIGO. lkn sipati mawasiliano yao huku wakiendelea kula pesa. malalamikio kama haya yameenea sana kwa huduma hii.
Nipo mbali na OFISI za TIGO. lkn sipati mawasiliano yao huku wakiendelea kula pesa. malalamikio kama haya yameenea sana kwa huduma hii.