Dar- es-salaam Wake up!

Borakufa

JF-Expert Member
May 26, 2011
1,503
390
Katika utafiti wangu mfupi nimegundua wakazi wengi wa jiji la Dar es salaam wanachangia kwa kiasi kikubwa nchi hii kutoendelea. Imetokea mara nyingi katika nchi nyingine linapotokea jambo likafanywa na serikali kinyume na matakwa ya wananchi basi raia wa miji mikubwa kama Dar katika nchi husika wanatoka majiani kupingana na jambo hilo.
Lakini katika nchi hii wanaharakati wachache na wanafunzi wa vyuo vikuu wanaopatika jiji Dar ndiyo siku zote wamekuwa wanajitokeza kwa aina moja au nyingine kupingana na jambo lolote litakaloletwa kinyume na maslahi ya nchi yetu. Ni ajabu wananchi walio wengi wa Dar wapo ziiiiiiiiiiiiiiiiii wanaiacha inchi inaliwa.
Raia wa mikoa kama arusha, mwanza, mbeya wanawashinda kwa mbali raia wa Dar es salaam kwa kuhoji na kudai haki zao! Please DAR ES SALAAM PEOPLES WAKE UP!
 
Ni kweli,
Dar maneno matupu.
 
Well said mkuu!.....binafsi nimeshawahi kuandika post hapa jamvini yenye mtazamo kama huu wako! siyo siri waBongo tumelala sana.
 
ukishaingia dsm unakuwa zoba. wao wamekalia kuimba taarabu, sebene na kunywa pombe week end.
wao porojo na wizi wa simu.
dsm hakuna kitu.

Raha zinapumbaza eeh! kiasi mtu usahau kudai haki yako eeh! Hatari!!
 
misheni tauni,kuchuna buzi,nyumba ndogo watapata muda saa ngapi kupigania maendeleo ya nchi yao.
 
wadaslaam mnakera sana,
na mnajifanya wajanja, AMKENI!
acheni umaamuma, kama vipi rudini huku bara mpate masomo ya kimapinduzi
taarabu, wizi wa simu, kushikishwa ukuta, ushoga, kulelewa na mimama, mishemishe haitawasaidia machalii
UHURU wa mtanzania uliaanzia Dar miaka hiyo, mbona mmelala nyie wa sasa vipi mazee,
nchi inaiibiwa mko tu, hata kuwazomea hao majirani zenu viongozi hamuwezi? warushieni michanga basi kama vipi!
Kura zote mmewapa walewale, kidogo afadhali ubungo na KiNo
 
Mikoani wanakuwa influenced na CHADEMA,CHADEMA viongozi wa ukombozi hawajapga harakati za kutosha Dar,aliandaa Mnyika tutaingia barabaran,so wadandara wa mikoani subiri kwani ukombozi utaishia huku
 
Acheni kutufundisha, tunafahamu nini tunachofany. Hatuwezi pelekwa pelekwa na magwanda.
 
Wamechomwa shindano ya ganzi! Hata uwabutue konzi la kichwa hawaoni uchungu!
 
Back
Top Bottom