Maulid Kitenge aula BMT

Maulid Kitenge aula BMT

Bajabiri

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
9,727
Reaction score
1,214
Mtangazaj wa itv-radio 1 maulid kitenge aka mau kite ameteuliwa kuwa msemaji wa Baraza la Michezo la Taifa(BMT),huku Jenista mhagama akichaguliwa kuwa Makamo Mwenyekiti
 
Huyu Jenista Mhagama si Mbunge wa Peramiho? Sasa atakuwaje Makamu Mwenyekiti wa BMT?
 
mwita ndo ivo mdau,amechaguliwa na wajumbe leo,ni kweli mhagama naemzungumzia ni MBUNGE
 
Hii inaonyesha jinsi tunavyowaza matumbo tu.
Zile enzi za "Cheo ni Dhamana" zimepotea kabisa. Cheo sasa ni ulaji.
Ndio kusema kina Dalali (sijui wa nini) kumbe wamechaguliwa kwenda kula tu bungeni, sio kuwawakilisha wananchi.
 
jaman kwani cri?mdau?
 
nimjuavyo huyukijana ataongeza mke mwingine sasa hivi
 
wabongo nakwambia wanawaza matumbo yao tu, yaani mtu akipewa cheo ambacho ni dhamana wao wanajua kaula duhhhh
 
Back
Top Bottom