Jamani!! Jamani! Huu usafiri wa mabasi sasa ni tishio! Sumry tena!

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,219
Wajameni! WanaJF wenzangu! Kuna hbr nilizopata majira kidogo iliyokatika ya kwamba jana usiku majira ya saa 4 hapo ktkt ya njia ya toka Morogoro kuja Chalinze kuna ajali ya kusikitisha iliyosababisha basi la Sumry kugongana na Fuso Canter na kuna tetesi watu kadha hawajapoteza maisha ila wamejeruhiwa vibaya na dereva wa fuso na konda wa basi la Sumry wamelazwa. Source Radio one:
 
Tetesi hz nimepata kusikia wakati napata lunch lakini hebu tuwasubirie wenye full data na bila shaka watakuja. MUNGU TUSAIDIE NA UWALINDE WATU WAKO WA TANZANIA ajali zifutilie mbali kabisa kwa mamlaka yako uliyenayo BABA.
 
Hatuwezi kuendelea kuuwawa na kuuliwa ndugu zetu bado tukaendelea kuishi kwa kupeana pole,ili iweje sasa?

kwahiyo hata wale waliotubia kiwira yetu,wakauwa general tire yetu,wakachangisha rushwa kwa wabunge,wakapora BoT,wakaingiza richmond mfano tu wakijitokeza hawa jamaa wakatoa pole kwa watanzania mtakuwa mmeridhika?pole ili iweje,tuendelee kuishi kwa 'pole' kweli?Hii nchi tumekuwa watu wa hovyo kabisa tunazidiwa hata na wadudu ambao ukimuhurt akapona ni lazima awe mkali na atajihami next time akupe adabu lakini sie tunazalisha pole tu

Haya bwana,na mie natoa pole.
 
Tumeuzwa ingali tupo macho.
 
hadi hapo Trafic Act itakapobadilishwa na kutoa adhabu kali ikiwemo kifungo cha maisha
kwa makosa makubwa ya barabarani ikiwemo uzembe na kuuwa ajali hazitapungua,wanajua akiuwa anatoa fain anatoka kazi inaendelea.
 
Back
Top Bottom