shimo mnazi mmoja kuelekea kamata.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

shimo mnazi mmoja kuelekea kamata....

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by killo, Oct 24, 2011.

 1. killo

  killo JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2011
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 393
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  hi wanajamii,

  hebu nisaidieni labda niliona vibaya... baada tu ya taa za kiongozea magari kama vile kuna shimo kubwa la squre.. nimekuta breakdown na landcruiser

  mazingira ya hivyo vitu vitatu ndo yalionipa mtazamoo huu
   
 2. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Labda niwe kilaza yaani nimeahindwa kukuelewa, ni mtamano gani huo unaouhusisha na hilo shimo? Ina maana gari hilo lililiingia hilo shimo na kusababisha hiyo break down kuja kuliondoa barabarani? Thread yako ina maswali mengi kuliko majibu maana hata sijaielewa kama ni taarifa au angalizo yaani full utata.
   
 3. killo

  killo JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2011
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 393
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  mkuu nilikuwa naendesha gari hivyo sikuweza kuangalia vizuri na nilichoona kwa haraka haraka ni kama nilivyoviadika hapo juu.... samahani kama nimekukwaza.... hope u not a blonde ei..?
   
 4. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  rudi kaangalie tena
   
Loading...