Hii ya Adam Malima na Tanesco ni tusi kwa watanzia. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ya Adam Malima na Tanesco ni tusi kwa watanzia.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by DCONSCIOUS, Oct 24, 2011.

 1. DCONSCIOUS

  DCONSCIOUS JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,272
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Leo nimemsikia Adamu malima naibu wazili wa giza na mashimo anasema eti agreco wameleta mitambo walio nunua kwao. Sina tatizo kuhusu hilo lakini kilicho ni shangaza ni pale alipo sema eti wamekuja na mitambo mingine ipo bandarini ya megawati 50 na ataongea na selikari kama kuna uwezekano wa kuinunua!!!!!
  Maswali.
  1]Je? Ninani aliye washauli agreco walete mitambo hiyo mpaka bandari. Kabla ya makubaliano yakuinunua?
  2]Je? Agreco ni wa machinga kwa kumsogezea bidhaa mteja kalibia na mali alipo?
  3]Kama serikali itaamua kuto inunua hiyo mitambo je gharama za usafiri zitagharamiwa na nani?
  4]Kama mitambo hiyo ya megawati 50 imefika bandarini mtanizuia vipi kuamini kwamba Marima na wenzie wananufaika kifisadi kwa kuishauli serikali kununulia mitambo bandarini?
  5]Je bandari ni soko la mitambo?
  Kama nakosea naomba kuerimiswa kuhusu hiliswala
   
 2. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2011
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 2,236
  Likes Received: 928
  Trophy Points: 280
  Another scandal in the making.
   
 3. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkuu wangu acha kabisa, ndo matunda ya safari yake ya South Africa tuliambiwa wakati flani alienda?
   
 4. M

  Megawatt B JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2011
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Wanajua tz kuna tatizo la umeme na wao wanafanya biashara. Kwani wachina wakileta bidhaa zao pale kariakoo wanamtaarifu nani? Hakuna deal wala nini ni biashara tu...eee mambo ya fursa hayo!
   
 5. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  still they dont care
   
 6. b

  boybsema Senior Member

  #6
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  eh!badae nitasema...hv nani yule alienda sauzi akabadili jina tena vile?
   
 7. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Punguza jazba kaka,hakuna wizara ya giza na mashimo apa tanzania inaezekana upo libya,hebu jikague vizuri.au ulikuwa umelala ukakurupuka toka usingizini ukafikia kwny jf?hii thread umeiandika kwa hisia,sio ukweli alousema malima kwani hata mi nimemskia..acha uzushi na chuki binafsi.
   
 8. Shakazulu

  Shakazulu JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2011
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 940
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kama alichokiandika ni uongo then kwa faida ya wana JF wote tunaomba utuwekee ukweli hapa.
   
 9. L

  Luiz JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  watoto wa magamba mcpende kutafuniwa kila kitu lugha aliyotumia hapo kwenye ni lugha ya picha harafu kwingine yupo sahihi acha propaganda kama msemaji wa Gadafi.
   
 10. Xuma

  Xuma JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 631
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  C=c=m=
   
 11. K

  Keil JF-Expert Member

  #11
  Oct 24, 2011
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ni kweli Tanzania tuna tatizo la umeme, lakini kampuni haiwezi kuleta mitambo ya megawatt 50 bila kuwa na uhakika wa soko. Hizo siyo generator ambazo zinaweza kununuliwa kwa bei rahisi. Ndiyo maana hata kampuni zinavyotengeneza hiyo mitambo huwa haiwezi kuwa na stock kubwa sya mitambo hiyo wakichelea ku-tie capital ambayo haitatumika.

  Swala la kujiuliza, kwanini serikali haitaki kwenda kununua hiyo mitambo huko ambako mitambo inazalishwa? Kwanini wasubiri mpaka middleman awaletee ndio wajifanye kwamba wanaishauri serikali kununua? Ukiwaambia serikali wakanunue mitambo mitambo utasikia wanakuja na hoja ya kwamba procurement procedure ni ndefu sana, inaweza kuchukua hata mwaka mzima mpaka manunuzi kukamilika, lakini mitambo ikiletwa na kampuni hakuna procurement procedure ambayo iko complicated.

  Tanzania ni nchi ya kuliwa tu, wana siasa wote walishageuka kuwa wafanyabiashara ambao wanaangalia maslahi yao.
   
 12. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #12
  Oct 24, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  inaonekana unahisia za kishoga!! umekurupushwa wewe, vaa basi kivazi upate kukimbia vema.
   
 13. B

  Baba Mkali JF-Expert Member

  #13
  Oct 25, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 681
  Likes Received: 519
  Trophy Points: 180
  aaah Tanzania bana ni shamba la bibi kweli. Watauza tu...'sisi tuna huruma,yaani mtu alete mitambo yake toka huko hadi bandarini kwetu eeh,itatusaidia sana kipindi kijacho'. Sitashangaa keshokutwa waziri akitoa maelezo kama hayo.
   
 14. M

  MZAWATA JF-Expert Member

  #14
  Oct 25, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hapa kuna dalil na harufu za wizi. Ni vizur tukatambua kwamba mitambo ya kuzalisha umeme sio sawa na bidhaa nyingine et unatengeneza then upeleke sokon tu bila kujua ni nan atanunua. Haiingii akilin et mtambo wa kuzalisha megawat 50 iletwe iletwe bila kuagizwa. Najua tanzania tuna tatizo la umeme but the problem ni kwamba kauli ya malima ina utata. Kaul yake haijitoshelez kwa great thinker kuiacha kaul hii ikining'inia hewan. Tunaomba wenye ufafanuz zaid kuhusu jambo hil wauweke hapa jamvin
   
 15. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #15
  Oct 25, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Hiyo sio jazba ila wewe ndio una jazba, pia wewe si mtu unayefikiria vema, huyo anamaanisha kuwa hiyo ni wizara iliyoshindwa kabisa na hivyo inakwenda kinyume na inavyotakiwa kufanya. Hivyo fikiria sana kabla huja andika.
   
 16. L

  LAT JF-Expert Member

  #16
  Oct 25, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mimi pia nilimsikiliza huyu malima nikashangaa sana, hata mtoto mdogo anayo proper reasoning
   
 17. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #17
  Oct 25, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Hilo ni dili watu wanataka wachukue chao mapema, hii ndio Tanzania ya wajinga ndio waliwao, Asilimia kubwa ya watanzania ni wajinga haijarishi amepata au hajapata elimu
   
 18. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #18
  Oct 25, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 160
  Masaburi hayo yanafanya kazi.
   
 19. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #19
  Oct 25, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Watasema kuna tatizo la dharura la umeme. Tunahitaji megawatt so and so.... so ni bora tununue mitambo hii. Sarakasi zitahadikizwa na mgao wa aina yake.
   
 20. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #20
  Oct 25, 2011
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,420
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Asante kwa jina sahihi la hii wizara!

  Nishati....giza!
  Madini.....Mashimo!

  Perfect!
   
Loading...