Dar road signs | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dar road signs

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Timtim, Dec 4, 2011.

 1. Timtim

  Timtim JF-Expert Member

  #1
  Dec 4, 2011
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 603
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Imepita zaidi ya miezi 3 hapa Dar mjini kumebandikwa road signs nyingi tu kuashiria No Entry. Inaonyesha kuwa katikati ya jiji barabara zitakuwa na mabadiliko makubwa. Cha ajabu toka walipoweka signs hizo zikiwa zimefunikwa kwa magazeti hadi sasa karibia sign zote ziko wazi bila kufunikwa bado magari yote yanatumia barabara kama zamani. Swali langu jee wenzangu mwajuwa lini signs hizi zitaanza kutumika? Jee akija mgeni mjini si atatuona wehu hatujui maana ya road signs?
   
 2. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #2
  Dec 4, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Huo ni mchemsho wa Halmashauri ya Jiji na Tanroads. Nadhani huo mradi umeshawashinda
   
 3. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #3
  Dec 4, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Maisha ya bongo tuachieni akina sisi, maana unahitajika kuwa na moyo wa punda..
   
 4. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #4
  Dec 4, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kweli kabisa mkuu...
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Dec 4, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  watu wanatengeneza zile form za maauditor mzee..
   
 6. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #6
  Dec 4, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ni ulaji tu hapo hakuna cha maana
   
Loading...