Jina La Rais Mkapa Linatumika Kwenye Utapeli Mjini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jina La Rais Mkapa Linatumika Kwenye Utapeli Mjini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Muke Ya Muzungu, Dec 2, 2011.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Dec 2, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Jana nimepewa kisa kimoja cha dogo wa Mujini anyejiita KEVIN MKAPA http://www.facebook.com/real.mkapa?ref=fs ON TWITTER http://twitter.com/#!/kevinmkapa/sta...02981513273344 . huyu mtoto ni noma, hana Undugu na mkapa lakini anavyotumia majina ya wana Mkapa, kuna siku tutamuona duniani kote kama tapeli la kimataifa. Ameliza watu kibao mjini. Anachofanya kama mnavyoona kwenye twitter background, anatafuta magari makali, anapiga picha na kusambaza kama yake kunasa watu katika harakati zake za kitapeli. Inabidi wana usalama wamdake huyu dogo kabla hajafika mbali. huyu ni hatari kwa usalama wa taifa. Kuweni waangalifu na huyu mtoto anayetumia jina la Benjamin Mkapa. Yaani anawaahidi watu appointments na mh. Mkapa wakati hajui hata Mkapa anakaa wapi

  Aliyenisimumia ni victim ambaye aliliwa laki 4 kavu wiki jana tu...Kama kuna watu zaidi wanamfahamu huyu dogo, wasambaze habari kwa maana ataliza wengi sana akitumia jina la Mkapa

   
 2. Clarity

  Clarity JF-Expert Member

  #2
  Dec 3, 2011
  Joined: Jul 6, 2010
  Messages: 809
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 80
  Sasa na nyie mnatoa hela kuonana na Mkapa ili iweje watu waache kutafuta shortcuts kutafuta maendeleo Kama huna bidii ya maisha hata ukionana na huyo mkapa haisaidii
  hivyo basi endeleeni kuliwa Pesa zenu kwa kutaka kuonana na mkapa
   
 3. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #3
  Dec 3, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  ......unatoa pesa ili kuonana na Mkapa?????, kama ni kweli rushwa Tanzania haitaisha na sisi wenyewe ndo tunaiendekeza.
   
 4. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #4
  Dec 4, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  njaa ndugu yangu
   
 5. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #5
  Dec 4, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Sasa watu wanatafuta kuonana na Mkapa ili iweje? unatoa laki kadhaa ili umwone mkapa kweli? then?
   
Loading...