Kulikoni TIGO kutufanya wateja wenu ndondocha? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kulikoni TIGO kutufanya wateja wenu ndondocha?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jumakidogo, Dec 4, 2011.

 1. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #1
  Dec 4, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Hii kampuni ilikuwa kero, sasa imezidi na kuwa kereka. Kulikoni ukiacha akiba yako usiku, ukiamka asubuhi unakuta wemeramba, ukipiga kungea na huduma kwa wateja. Simu inaita bila kupokelewa. Hata simu ya huduma kwa wateja nayo wanaramba salio. Hii siyo sawa kabisa. Hebu kama kuna muhusika humu ajitokeze tumpe changamoto kidogo maana hata ukiwapigia simu hawapokei.
   
 2. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #2
  Dec 4, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  bado mwang'ang'ana na tg? wala haihitaji
  elimu ya msingi kujua kwamba hawa jamaa
  ni matapeli. hasa pale unapopiga cm halafu
  haya mase.nge yanakuunganisha kwa
  voicemail bila wewe kujua. ku.m.,a mae zenu
   
 3. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #3
  Dec 4, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  Nenda facebook wamefungua ukurasa wao utoe makomenti ya kutosha. Hawa jamaa wanatufanya sie punguani. Huduma zao za kipumbavu, unapiga simu wanakuunga kwenye voice mail. Ujinga.
   
 4. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #4
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  ...........wanakupa offer halafu wanazilamba kinyemela ! zile pesa wanazochukua ukipiga customer care halafu hawapokei cm, hiyo kitu inaniuma sana, ndio maana wakaitwa tiGo! Ukikutana nao watie kidole cha tiGo !
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Dec 4, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Hata humu wapo ila wanafumbia macho malalamiko ya wateja.
   
 6. dazipozi

  dazipozi JF-Expert Member

  #6
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 1,143
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  wanaboa kichizi mikundu yenu
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Dec 4, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Haaaaaaa tiGO imekua tiGO imepanuka,na ndo wadhamin hapa jamvin so msitukane sana waambieni kina paw,invisible,RR wawafikishie ujumbe
   
 8. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #8
  Dec 4, 2011
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  mwanzo walianza fresh,cjui wanarun bankrupt,yaani ni vibaka wa kutupwa,waizi ucpime! hebu watuambie rate yao ya tigo kwa tigo ni ngap coz hatuwaelewi....
   
 9. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #9
  Dec 4, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,028
  Likes Received: 7,422
  Trophy Points: 280
  Inabidi uongoze wa JF uliongelee jambo hili.
  Sababu malalamiko dhidi ya hiyo kampuni ni mengi na makubwa na hiyo kampuni ni moja ya wadhamini wa JF, hivyo isije ikawa kelele zetu zote dhid ya dhurma zisiwe na maana yoyote kwa kuwa tu wao ni sehemu ya wawezeshaji hapa.
  Tunauomba uongozi uwalete jamvini hao jamaa ili walijibie hilo, Facebook hatuwafuati, wengine tulisha toka huko long kitambo tu.
   
 10. Sokwe Mjanja

  Sokwe Mjanja JF-Expert Member

  #10
  Dec 4, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Jamani hivi ni lazima sana kuwa mteja wa tiGo? Kwanini ukose raha na ulalamike namna hii wakati makampuni ya simu yako mengi tu? Si muhame? Mmeshikiwa na kamba?
   
 11. mkonomtupu

  mkonomtupu JF-Expert Member

  #11
  Dec 4, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Mkuu hawa jamaa siku hizi ni matapeli wa kimataifa.
  last week nilikuja na uzi hapa kama wako sikupata jibu. mimi nilitumiwa
  tigo pesa ilikuwa jumamosi. niliisahau password kwani nilikuwa sijawahi
  itumia huduma ya tigopesa toka nisajili line yangu.usumbufu nilioupata
  week nzima na salio nikipiga simu customer care wanakata na simu haipokelewi.

  Tigo acheni wizi huu si vizuri la sivyo mtajutia haya mbeleni kwani walami wanasema
  it takes yaers to create a loyal customer but it takes second to loose one.
   
 12. Beso

  Beso JF-Expert Member

  #12
  Dec 4, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 216
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  jamani mimi ninatumia huo mtandao wa tigo nimesita kutupa line kwa kuwa nitapoteana na wadau wanaojua namba yangu.tafadhali tigo acheni kutuibia,ati mnanitumia matokeo ya soka sihitaji huduma hiyo mnakata tsh 150 kila mnapotuma upumbavu wenu,nimetuma neno ondoa hamtaki.nikiwapigia huduma kwa wateja hampokei.asheni use.n.ge.siweki salio kwa kuwaogopa loh!
   
 13. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #13
  Dec 4, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hamia airtel achana na hawa uchwara biashara
   
 14. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #14
  Dec 4, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Nikiangalia pande zote za matatizo sioni kama tatizo ni wenye kampuni yao, bali watendaji. Humu ndani ya JF siku zote maongezi yetu ni juu ya mishahara ya graduates na wapi wanalipa zaidi. Nachojaribu kusema hapa ni kwamba si tiGO tu kwenye matatizo haya bali kila mahali na tatizo ni sisi tunaojiita wasomi.

  Nenda ukafungue website za mabenki ukitaraji kupata taarifa za huduma zao...,thubutu! Website hazijaupdatiwa tangu zilivyotengenezwa. Na hapo hapo kuna IT department iliyojaa visharobaro vyenye kujishaua kwenye makoridor ya benki wakidisplay mavazi kama watoto wa kike. Mashingoni wameng'ing'iniza falsh disks, surali safi za vitambaa mashati ya kuimbia kwamba na viatu vinavyongaa kwa kubrashiwa kama askari wa mkoloni.

  Ujinga pekee wa tigo ktk hili ni kuajiri watu kwa kuangalia sura badala ya kuajiri wachapa kazi. Kazi wanayoweza kufanya ni kujishaua steers wkt wa lunch kula sambusa moja na juice kama ma-model huku wakiongea kiingereza cha america pambaf zao. Ngoja Wakenya waingie humo kwenye tigo uone kama utasikia habari za network imebuma au salio limehama lenyewe.

  Tuache usharobaro watanzania. Mchana kutwa mko JF fb na badoo badala ya kufanya kazi. IT departments zinatia aibu. Kazi zenu ni kubadili toner cartridge kwenye printer za masecretary na kupitapita makoridoni huku wateja hawahudumiwi. Mnachat kama ndio shughuli iliyowapeleka kazini halafu mnajisifia mmegraduate.
   
 15. dwight

  dwight JF-Expert Member

  #15
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 437
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kuhusu hilo la 'MASHAROHARO' wa benki ninakuunga mkono,na bora american english wangekuwa wanaiweza!
   
 16. FuturePresident

  FuturePresident JF-Expert Member

  #16
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 321
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hii kitu ngumu kumeza hii....lakini ndio ukweli wenyewe.....kuna kitu kigumu nimepata hata...kazi kwenu mliotajwa sio tIgO pekee yao hapa!!!
   
 17. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #17
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  sijui watakuelewa?
   
Loading...