Tanzania nakupenda kwa moyo wote! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania nakupenda kwa moyo wote!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sam GM, Jul 16, 2008.

 1. Sam GM

  Sam GM JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 536
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  The folk song " Tanzania Nakupenda Kwa Moyo Wote" was probably the country's unofficial national anthem by its popularity. It was widely embraced then by many mainstream politicians and was often sung at rallies, demonstrations and in schools. From my young days and a humble beginning in singing patriotic songs like this, my love for Tanzania grew day by day even today. I have done a little research and my conclusion tells me that people are always fascinated by numbers, photos and songs, only if these things make sense.

  My love for Tanzania is often times betrayed by ignorance or intended actions of my own people who abuse the system or the very basic rights of my existence. A good example is when I was looking for a passport, I am talking about a simple Tanzanian passport that I had to go through insults, provoking, cajoling,cursing, coercion, cheating and sometimes belittling remarks to get one and all these are compounding to the feelings that I was striped naked by my own government. And this really beats my understanding because all these detrimental non compliance situations and remarks are created by public officials that we have entrusted great responsibilities on their shoulders. Na hawa hawa ndio wanaotuburuza na serikali isiyo na strategy yoyote.

  Is there any love left for my country ikiwa watu uliowachagua wanakuvua nguo hadharani kwa vitendo vyao? how do we teach our kids kuhusu nchi yenye siasa safi na uongozi bora ambao hatujauona?

  Is there a single individual out there who can still proudly sing "Tanzania nakupenda kwa moyo wote?
   
 2. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2008
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0

  Ohh that songo!?....the song was very popular in the past. I don't know if they teach it at school these days.If not, do parents have that sense of patriotism to teach their kids? I don't thinks so...... too many problems to think about!
   
 3. Sam GM

  Sam GM JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 536
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Womanofsubstanc,

  My patriotism has been betrayed, but I still love my country dispite of everything!
   
 4. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2008
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  the song made me happy and makes me think of TANZANIA FIRST....!
   
 5. Sam GM

  Sam GM JF-Expert Member

  #5
  Jul 17, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 536
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  This songs brings back some sweet and bitter memories all together! kipindi kile cha kukimbia mchaka mchaka shule na kuimba nyimbo kama

  kweli kweli jamaa ni jembe tu siyo mapesa

  yaletayo uchumi nchini Tanzania!
   
 6. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #6
  Jul 17, 2008
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Watanzania Wenye Asili Ya Asia Wanayajua Haya...?
   
 7. Richard

  Richard JF-Expert Member

  #7
  Jul 17, 2008
  Joined: Oct 23, 2006
  Messages: 8,253
  Likes Received: 4,275
  Trophy Points: 280
  Sasa naona mayai ya uzalendo yamo ndani ya mashine ya kuatamia manake tukisubiri kuku waatamie itachukua muda.

  LOL!
   
 8. Sam GM

  Sam GM JF-Expert Member

  #8
  Jul 17, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 536
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Itabidi waongee kwa nafsi zao!!!!
   
 9. BongoTz

  BongoTz JF-Expert Member

  #9
  Jul 17, 2008
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 272
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Oh, yes! I can still proudly sing that song Tanzania nakupenda kwa moyo wote, coz hako ka-wimbo kametulia mno!

  In fact, ingefaa "Tanzania nakupenda kwa moyo wote" uwe ndio national anthem, maana "Mungu Ibariki Tanzania" tume-copy toka South Africa (Nkosi Sikelel'i" Afrika), you know...
   
 10. Sam GM

  Sam GM JF-Expert Member

  #10
  Jul 18, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 536
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Richard,

  Nafikiri huu uzalendo wa nchi yetu ndio unatuleta hapa JF, kupata vifaranga sio lazima kuku ahatamie ndio upate vifaranga kama mafisadi wanavyofikiria, zipo njia zingine mbadala ambazo zinaweza kukufikisha kwa hao vifaranga. Spirit ya uzalendo ilikuwepo wakati mkoloni kachukua nchi, nafikiri spirit hiyo hiyo imeanza kurudi na mda utafika wananchi wataisimamia na kuiongoza nchi sio mafisadi.
   
 11. H

  Haika JF-Expert Member

  #11
  Jul 18, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  I thought it was the other way, that they copied ours!

  The song is beautiful, and it is still being taught in some schools (you know all about our diverse curriculum)
  I still remember when JK shed a tear in national tv when he was singing the song. Was he even partially sincere?? I keep wondering about that years and years later.

  To us:
  Are we sincere with our love to the land of Tanzania?
  How much do we love love the country?
  Are we ready to do something about our love?
  Or is our love shown wy only our words?
  Is the love, unconditional or with some conditions?

  Why should we love the land? cant we just just live and let die?
   
  Last edited: Jul 18, 2008
 12. Sam GM

  Sam GM JF-Expert Member

  #12
  Jul 18, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 536
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Truth is We copied this song from them funny though!Unaweza soma hapa historia ya wimbo huu.
   
 13. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #13
  Jul 31, 2008
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0

  Katika kutafakari nyimbo tulizofundishwa shuleni miaka ya nyuma... nimekumbuka wimbo huu:
  Tanzania my country - you are so sweet you are wonderful,
  You keep your people so comfortable
  Oh You are wonderful my Tanzania

  When Im far far away
  I hear your name................
  Jamani! tumetoka mbali katika kujengwa kuwa wazalendo...sijui kama juhudi hizi zipo tena!!
   
 14. Steven Sambali

  Steven Sambali Verified User

  #14
  Jul 31, 2008
  Joined: Jul 31, 2008
  Messages: 314
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Je mtu ameshaangalia ile film ya DARWIN'S NIGHTMARE by Hubert Sauper? Mle ndani kuna dada mmoja Changu Doa aliyekuwa akienda na Wazungu tu kwani wao wanalipa hela nzuri. Humo anaeleza jinsi kazi wanayoifanya wanavyoriski maisha yao. Baadaye akiwa amekaa na marubani wa kutoka Ukraine wanaoendesha lile dege kubwa duniani, akaanza kuuimba huu wimbo. Daah, inasikitisha. Ila inasikitisha zaidi mwisho wa film inaposemwa kuwa "huyo dada aliuwawa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali sehemu ya moyo na akafa ..." Sijui huyo Mzungu kipi kilimpata ila kwa Tanzania utashangaa alitoa kitu kidogo na jamaa akalala mitini.
  Hii ni ile picha ambayo Tanzania waliisema "film ya mapanki" na Kikwete akaja juu.
   
 15. Isimilo

  Isimilo JF-Expert Member

  #15
  Aug 1, 2008
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  passport za bongo ni dalali tu. unaipata hata ndani ya siku moja.anayetaka namba ya dalali awasiliane na mimi private message. kuna jamaa yeye alibadili passport yake baaada ya ile ya kwanza kupote na alikuwa na issue za haraka Canada. walibadili na kudelete fingures print kwneye network na kutengeneza nyingine.mimi mwenyewe niliona itakuwa mizengwe nikampata dalali na passport yenyewe nilienda kupokelea shemu nyingine kabisa wala sio pale offisi za uhamiaji.
   
 16. Isimilo

  Isimilo JF-Expert Member

  #16
  Aug 1, 2008
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata ule ule unaosema
  Tazama ramani utaona nchi nzuri; yenye mito na mabonde mengi ya nafaka
  nasema kwa kinywa halafu kwa kufikri: chem chem ya furaha utaipata Tanzania.
  Majira yetu haya, yangekuwaje sasa........  wimbo huu nikiusikia mwili unanisismka na pale ninapoukumbuka hata maisha ya shule ya enzi zangu nayamiss sana nikikumbkuka enzi hizo tunafundishwa walimu wanaheshimika sana na hakuna huu utitiri wa tution na watu tulikuwa wasongo enzi hizo paper ina 50% mzee unaondoa 49% kavu paper jiwe sio hizi za kuiba mitihani na mitihani yenyewe maji.
  hawa wanaoishia kuiba mitihani ndio waliotufikisha hapa hata huko uhamiaji kwani walishazoea uchafu tokea wakisoma.
   
 17. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #17
  Aug 1, 2008
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Wana JF,
  Juzi tu nimetumiwa EMAIL yenye wimbo huu. Ila umebadilishwa na kuwa wa KISASA kulingana na hali ya Tanzania. Ninautuma kama nilivyoupata.
  --------------------------------------------------------------

  > Tanzaniaaa Tanzaniaaaa! !
  > Nakupenda kwa moyo woooteee
  > Nchi yangu Tanzaniaaaa
  > Stori zako ni tamuu saanaaa!!
  > Nilalapo namwaza Vijisentiiii
  > Niamkapo Mkapa baba weee!
  > Tanzania Tanzaniaaaa
  > Nakupenda na EPA zakoooooo
  > TANZANIA!!!
  > TANZA NIA
  > The only country where footballers plays BUT they dont win!!
  > The only country where mzungu comes with one dollars and leaves with
  > millions of dollars!!
  > The only country where engineers builds but House falls down!!
  > The only country with Politicians who believes in voo doo!!! Attorney General!!
  > The only country where ufisadi is Prestige!!!
  > The only country with many TUMEz!!
  > The only country where development is in Figure!!Not visible!!
  > The only country where politicians are richest men!!
  > the only country where Language iz a problem!!
  > AND THE ONLY COUNTRY where PRESIDENT keep on SMILING
  > despite of national difficulties! !!
  > THE ONLY COUNTRY WITH HANDSOME PREZZIDAAA!! !

  > I LAV THIS COUNTRY!!
   
 18. Sam GM

  Sam GM JF-Expert Member

  #18
  Aug 2, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 536
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  I guess this is a new verison then!!!
   
 19. Lusajo

  Lusajo JF-Expert Member

  #19
  Aug 2, 2008
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 451
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35

  Ni kweli lakini it will take years. Sijui kama itakuwa ni Generation yetu. Mambo yenyewe ndiyo kama hivyo watu washaanza kuuana. Mhmm
  'i'm sorry but i have to say this, nitawazalia watoto wangu wote US ili wakifika 18 yrs old watachagua kama watataka kuwa raia wa TZ" kama mafisadi washaanza kuua naona wako tayari hata kwa vita watawale milele. Uzalendo wangu unazidi kupungua siku zinavyokwenda naona viongozi wameisaliti nchi wakiongozwa na mkuu wao wa kaya. Mpaka nione mabadiliko lakini sasa hivi uzalendo unanishinda, nawajali sana wanangu nisingependa wapate shida. Ni mawazo yangu tuu.
   
 20. Icadon

  Icadon JF-Expert Member

  #20
  May 21, 2009
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 3,589
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0
  [ame=http://www.youtube.com/watch?v=TcSZoIfZpWM]YouTube - Tanzania:patriotic Song.[/ame]
   
Loading...