Mh Kikwete, Je Riz1 ni sehemu ya serikali unayoiongoza?

naninibaraka

JF-Expert Member
Oct 13, 2011
910
668
Kwa hali ilivyo ni kwamba mtoto wa kiume wa jk Riz1 ni sehemu ya serikali ya baba yake kutokana kuingilia tasisi za chama na hata zilizo chini ya serikali,tofauti na watoto wa viongozi waliowahi kuongoza taifa letu kama mkapa,mwinyi na nyerere je hii ni ishara ya huyu mtoto wa rais kuwa sehemu ya serikali? Je dhamana aliyopewa rais anaweza kuiweka rehani kiasi hiki?kama dhamani tuliyompa Jk ndo anaitumia hv kwanini asirudishe kwa watz?
Nawasilisha
 
Jamani ni uamuzi gani wa serikali kaufanya?unajua maamuzi ni lazima yawekwe kwenye files,securals na memo.....sasa wapi hayo yalifanyika na ilikuwa wizara gani na ulijuaje?tujibu kwanza.
 
Uzushi au mshikaji wako Riz kakutosa sasa unataka kutuhusisha!Sisi tunadeal na baba yake tuliompa dhamani na si mtoto.
 
Kwa hali ilivyo ni kwamba mtoto wa kiume wa jk Riz1 ni sehemu ya serikali ya baba yake kutokana kuingilia tasisi za chama na hata zilizo chini ya serikali,tofauti na watoto wa viongozi waliowahi kuongoza taifa letu kama mkapa,mwinyi na nyerere je hii ni ishara ya huyu mtoto wa rais kuwa sehemu ya serikali? Je dhamana aliyopewa rais anaweza kuiweka rehani kiasi hiki?kama dhamani tuliyompa Jk ndo anaitumia hv kwanini asirudishe kwa watz?
Nawasilisha

KWa yeyote anayemfahamu Ridhiwani, asingeweza kuandika ujinga kama huu. Ridhiwani ni kijana mstaarabu sana . Tatizo ni kwamba wivu inawasumbua kumuona kijana kama Ridhiwani akifanikiwa bwana. grow up
 
Ule msemo wa kiswahili unaoseama " Mtoto wa nyoka ni nyoka" na uko wa kiarabu unaosema "Mbwa wa Sheikh ni Sheikh" na bila shaka itakuwepo na mingine, kwa mantik hiyo lolote linawezekana cha muhimu ni kuwa bwana mdogo ajue mipaka yake.
 
Jamani ni uamuzi gani wa serikali kaufanya?unajua maamuzi ni lazima yawekwe kwenye files,securals na memo.....sasa wapi hayo yalifanyika na ilikuwa wizara gani na ulijuaje?tujibu kwanza.

hahaaa, mzee wa songea mjini naona unangaka? Hv na ww bado upo uvccm maana mie tangu npo mdogo ww nakuckiaga tu eti ni kjana.
 
KWa yeyote anayemfahamu Ridhiwani, asingeweza kuandika ujinga kama huu. Ridhiwani ni kijana mstaarabu sana . Tatizo ni kwamba wivu inawasumbua kumuona kijana kama Ridhiwani akifanikiwa bwana. grow up

ustaarabu gani?kamkingia kifua simon alipomdunda ocd pale maswa,kamfanya nini kifukwe? Mara ngapi katoa maelekezo kwa ma rpc?kaeni kimya kama hamjui kitu.
 
KWa yeyote anayemfahamu Ridhiwani, asingeweza kuandika ujinga kama huu. Ridhiwani ni kijana mstaarabu sana . Tatizo ni kwamba wivu inawasumbua kumuona kijana kama Ridhiwani akifanikiwa bwana. grow up

Uhuru1; HIVI NI WEWE KWELI NDIYO UMEANDIKA HIVI?
 
Back
Top Bottom