Precission air ,mtaacha kusikitika lini jamani kila siku delay loh!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Precission air ,mtaacha kusikitika lini jamani kila siku delay loh!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Dec 4, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,167
  Likes Received: 5,593
  Trophy Points: 280
  Unaweza hisi ni msiba ama ndege imeanguka la hasha ni chokochoko za kampuni yetu kalichosalia ambacho sasa naona watu wameanza kukachoka pale wanapoendeleza kusema kampuni ya ndege inasikitika kutangaza kuchelewa kwa ndege yetuya mtwara asbh wameanza wanasikitika na nairobi..ikafwata kusikitika kuchelewa ndege ya mwanza mchana huu wanasikitika ya mtwara nyie mmebakki kusikitika mpaka lini jamani mbona hivyo

  msione wamewavumilia watawachoka siku ya siku jrekebisheni muwe on time jamani
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Dec 4, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,274
  Likes Received: 19,420
  Trophy Points: 280
  kuna tatizo kubwa sana la uongozi kwenye mambo ya usafiri hasa wa anga...watanzania wana IQ ndogo ..nani anabisha ?
   
 3. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #3
  Dec 4, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Pia kuna tatizo kwenye suala la logistical planning. Hivi inakuwaje mpaka wanashindwa kupanga ratiba wanayoweza kuitekeleza kulingana na rasilimali walizonazo!
   
 4. Rocket

  Rocket Senior Member

  #4
  Dec 4, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hawana mpinzani ndo manake wanajeuri.......kwakweli wamezidi....
   
 5. SILENT ACtOR

  SILENT ACtOR JF-Expert Member

  #5
  Dec 4, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Ndio zao hao, huku musoma huwa wanawapandisha watu mabasi hadi mwanza ndio wanapanda ndege. Yaani nauli unalipa ya musoma -dar, lakiniwanakwambia kuna matatizo ya ufundi hivyo mnapandishwa mabasi kwenda mwanza. Hebu fikiri kama sababu ya kupanda ndege ni kumwahisha mgonjwa muhimbili, basi hayo ndo yalinikuta.Ka-nchi haka bana, kila kitu ovyo!
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,167
  Likes Received: 5,593
  Trophy Points: 280
  kanchi kako mpwa utahamia somalia??
  chumbile cha mlungu cha kumemena
   
 7. wantuzu

  wantuzu Senior Member

  #7
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  na walituuzia hisa zao hivi majuzi , kama mchakato wenyewe ndo huo si itakuwa imekula kwetu

  kweli za masikini nyingi ni za hasara !:A S-frusty:
   
 8. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #8
  Dec 4, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Kama ulinunua hisa zao,imekula kwako . Hamapati kitu hapo!!
   
Loading...