Mauaji ya kichanga-mbinga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mauaji ya kichanga-mbinga

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Deejay nasmile, Dec 4, 2011.

 1. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #1
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Hii imetokea muda huu hapa kigonsera wilayani mbinga.Baada ya mwanafunz mmoja wa kidato cha 3 ambaye alikuwa amesimamishwa masomo kutokana na kupata mimba, kujifungua peke yake polin then kumuua mtoto huo kwa kumdumbukiza ktk ndoo ya lita 20 iliyokuwa na maji kisha kuifunga ndoo hy kwa kifuniko.Baada ya unyama huo alibeba ndoo hyo na kuelekea makaburini ili azike peke yake.Hata hvyo zoez hlo lilishndikana baada ya raia kumkamata.
  Chanzo:mimi mwenyewe nipo eneo la 2kio
   
 2. k

  kasimba123 JF-Expert Member

  #2
  Dec 4, 2011
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 1,318
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 160
  ni bora iruhusiwe kutoa mimba kuliko kuzaa mtoto aje ateseke. najua mtanishambulia lakini hebu tulifikiri kwa mapana hili
   
 3. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #3
  Dec 4, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mtume! huyu mtoto mbona anaroho katili hivyo loh mwenyezi mungu atustiri....
   
 4. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #4
  Dec 4, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mh! Sikusapopi hata kwa yunit kwani yote ni kuuwa
   
 5. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #5
  Dec 4, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ukimjulisha jk hatochelewa kutoa kutoa majibu ya ajabu kama alijitakia mwenyewe, yafaa sasa jamii na wazazi kushirikiana ktk kuwalea vijana wetu ktk maadili ya kiroho kwani itakuwa ndo njia pekee yakunusuru majanga kama haya ma pindi vijana wetu watakaweka akilini kuzini ni dhambi hata hizi mimba za utotoni na zisizotarajiwa hazitakuwepo then mauwaji ya vichanga yatapungua kama sio kuisha
   
 6. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #6
  Dec 4, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  ni bora angenipa huyo mtoto kuliko kumuua
   
 7. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #7
  Dec 4, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,479
  Likes Received: 12,758
  Trophy Points: 280
  SI LAZIMA U DUU!
  NA PIA KUNA NJIA
  KIBAO ZA KUZUIA
  MIMBA,AF MAJITU MENGNE HOVYOOO
  UNAKUTA LINAOGOPA
  mimba ila halijui kbs habari za ukimwi!
   
Loading...