Marekani haichoki na vita.........? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Marekani haichoki na vita.........?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sinafungu, Dec 6, 2011.

 1. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #1
  Dec 6, 2011
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,406
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  [h=2]Monday, December 5, 2011[/h][h=3]NDEGE YA UPEPELEZI YA MAREKANI YASHUSHWA NA IRAN[/h]

  [​IMG]
  Jeshi la Iran linasema kuwa limedungua ndege ya Marekani isiyokuwa na rubani, mashariki mwa nchi, na italipiza kisasi endapo ndege nyengine itaingia katika anga ya Iran.Limesema kuwa ndege hiyo ni ya kufanya uchunguzi, na kwamba imetekwa bila ya kuharibika.


  Wameitaja ndege hiyo kuwa ya aina ya RQ-170 Sentinel - ni ndege inayohepa radar, na Marekani ilikiri ikiunda ndege hiyo kwa siri miaka miwili tu iliyopita. Jeshi la Iran limesema ikiwa Iran itaingiliwa tena, basi litajibu, na halitobaki ndani ya mipaka ya Iran tu. Na mshirika mangangaone


  Posted by Ebou's at 8:04 AM [​IMG]
   
Loading...