Akili imchoshwa na mambo ya siasa. Najaribu kufikiria uzuri wa noti utakavyokuwa kama zitawekwa sura za watu hawa. BI KIDUDE, ANNA MAKINDA, ANNA TIBAIJUKA na mwana wa mkulima MIZENGO, nahisi noti...
Wakati CCM na serikali yake wamejikita ktk mbio za urais 2015, kwa nahodha asiyejua bandari aendayo, hakuna upepo ulio muafaka kwake. na hii ndio hali tuliyonayo watanzania chini...
Nimesikitistishwa sana na matamko yanayotolewa katika kipindi hiki ambapo hali ya uchumi nchini kwetu ni mbaya. Ni afadhali kuwaambia wajue kabisa kwamba kama wao wanatuforce msaada kwa ushoga na...
Madaktari wanaomtibu dr mwakyembe apollo-india wataamua kama wataendelea na matibabu au arejeshwe nyumbani!hivyo kusubiri uamuzi wa mungu kumponya au laa
Wapendwa leo ni jumatatu ni wiki toka nitoke kumzika mama yetu mdogo( Marehemu Naomi Charles Ntinginya au Mrs Naomi Kiula) aliyekutwa na mauti katika ajali mbaya ya ubungo hapo tarehe 23 Novemba...
Nimesikia hili jengo jipya karibu na PPF TOWER linalomilikiwa na PSPF litaitwa J Kikwete pension Tower.....aisee imeniuma sana sidhani kama Kikwete ana deserve hilo....bora lingeitwa Zamoyoni...
Julius Malema and His US$17,000 Breitling Watch
ANC Youth League (ANCYL) president Julius Malema's company has won at least R140?million in government tenders over the past two years, a City...
Yapo mambo ya kusimuliwa yako mambo ya kuona kuhusu miaka hamsini ya UHURU wa Tanganyika. Mbwembwe za kila aina zimesheheni ufisadi wa hali ya juu.Kweli kweli ukishangaa ya...
Madaktari nchini Kenya wameanzisha mgomo ikiwa leo ni siku ya pili wakidai nyongeza ya mishahara na maboresho ya mazingira ya kazi ikiwema vitendea kazi in government hospitals. Hawatarudi kazini...
Askari Polisi wawili wa kituo cha Mgeta wilayani Mvomero mkoani Morogoro, wametiwa mbaroni kwa tuhuma za kumpiga Diwani wa Kata ya Kiteo, Exavery Msambara, kwa madai kwamba amekuwa akihoji...
The Kirima family saga has taken a new twist with children of the wealthy politician accusing their step-mother of "wasting the estate with a Tanzania politician". In an affidavit filed in court...
Jeshi la polisi Zanzibar limemkamata ALLY OMAR HAMAD miaka(27) akiwa amevaa baibui katika bandari ya zanzibar akiwa anakuja dar.
Walimshitukia baada ya kuonyesha tiketi yenye jina la mwanaume...
Takwimu hiyo inaonyesha kuwa Tanzania itakuwa nchi ya tano kwa wingi wa watu mwaka 2100 sasa je sisi twalijua hili, pamoja na wingi wa madini tuliyo nayo walahi twafa:
gonga link hii usome nawe...
Nafikiri Airtel imeshindwa kuifunika au kuipoteza Zain.
Mpaka leo watu bado wanatumia Zain wakimaanisha Airtel. Watu wengi wanaponunua Airtime utakuta wanasema nipe Zain 1000, 2000 etc etc... Au...
Hivi sasa anahaha kisiasa kwa kutafuta huruma kutoka wananchi akidhani nccr ni mafala. Nccr wanadai kafulila kalikoroga na atalinywa kwelikweli, huenda kilchomfanya tumfukuze chadema kikamkuta...
Mabibi na mabwana mkandarasi aliyejenga uwanja wa mwanza ni Engineer Omary Chambo ambaye kwa sasa ndio katibu mkuu wizara ya uchukuzi. Wakaguzi kutoka TCAA walisema toka mwanzo kuwa uwanja upo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.