Nakala ya hukumu ya JERRY MURO na wenzake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nakala ya hukumu ya JERRY MURO na wenzake

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KAUMZA, Dec 5, 2011.

 1. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #1
  Dec 5, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Kesi ya Jerry Muro imekwisha. Mengi yamesemwa juu ya kesi yake. Wapo waliosema alibambikizwa na wengine wakasema tuhuma zilizokuwa zikimkabili ni za kweli.
  Kwa wanaofahamu sheria, kesi ikishafika katika rulling, na ikabainika kuwa kuna kesi ya kujibu huo ni uthibitisho wa awali kuwa kesi hiyo si ya kupikwa. Maana upande wa mashtaka umeweza kuthibitisha kosa na kinachobaki ni upande wa utetezi kuandaa utetezi utakaotia dosari hoja za mashtaka. Hata kama tuhuma ni za kweli, mawakili wa Muro wanastahili pongezi kwa kuweza kutia dosari katika hoja za mashtaka.

  Tuachane na hayo: Jamani naomba mwenye nakala ya kesi ya hukumu hiyo atuwekee jamvini ili tuweze kuona mahakama ilimuachia kwa vigezo gani!!!!
   
 2. ntogwisangu

  ntogwisangu JF-Expert Member

  #2
  Dec 5, 2011
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 516
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  mkuu mambo mengine siyo ya kukuza sana!!!!ebu tufikiri kisawasawa!!nenda kwake yeye atakupa nakala,alafu wewe uje uiweke humu tudiscuss!!!!!acheni kufikiri kimasaburi!!!
   
 3. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #3
  Dec 6, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Si kila mtu anaishi Dar, na hata kama ningekuwa Dar si kila mtu anapafahamu kwa muro. Na hata kama kwake panafahamika, si kili mtu ana-access ya kufika kwake na kupewa.

  Mwenye nakala hiyo ya hukumu, kwa niaba ya wote wanaohitaji, tunaomba atuwekee
   
Loading...