Kata ya Sinza kupata mtandao wa maji taka

MAZUMILA

Member
Nov 9, 2011
7
0
Tatizo kubwa la kimiundo mbinu ya maji taka yani( siwage) lililokuwa likikabili kata ya sinza tayari limepatiwa ufumbuzi, akiongea na itv diwani wa kata ya sinza mh renatus pamba cdm alisema tayari wataamu wameshamaliza kupima eneo lote la kata ya sinza na sasa wapo katika hatua ya kukamilisha michoro hiyo ili iingie hatua nyingine ya kulaza mabomba.
 
Back
Top Bottom