Je kunaulizima wa kufanya hivyo......!!!? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je kunaulizima wa kufanya hivyo......!!!?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nyundo Kavu, Dec 6, 2011.

 1. Nyundo Kavu

  Nyundo Kavu Senior Member

  #1
  Dec 6, 2011
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 187
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Wadau, katika kupitia baadhi ya posts nimegundua baadhi ya wanajamii wengine huwa hawatumii maneno mazuri kabisa katika kukosoa mada husika! Najua hata baada ya kuandika hivyi kuna ambao watakurupuka kama kawaida kutuma "negative" comments about this....

  Najua wote humu dhumuni letu ni kuelimishana na kukosoana kiustaarabu na kwa njia hiyo inaonesha kuwa wana jamii wameelemika na wanajua nini wanachofanya humu....

  Naomba "waheshimiwa" tuondoke katika dhana ya kukosoana kwa kukurupuka na badala yake tutumie evidence na ueledi wakati wa kukosoa MADA husika. Aksanteni.
   
 2. O-man

  O-man JF-Expert Member

  #2
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 318
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Hapo Nyundo Kavu umenena. Inasikitisha kuona Great Thinkers wakiandika upuuzi kama wapo vijiweni. Tuweke mifano ili tuigwe. Kosoa, kwa kuelimisha sio kwa kebehi ili watu wacheke.
  Usikurupuke kama magamba halafu baadae ukajisuta nafsi yako. Onyesha uelewa wako na faida yake si lazima uione. Muungwana atakayefaidika atakujuza hapa hapa.
   
Loading...