Tafadhalini wamiliki wa IPP MEDIA, CH.10 na STAR TV tatueni hili!

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
274
Kama mnafika katika uwanja huu na kusoma ujumbe huu tafadhalini hebu shughulikieni hili tatizo linalotusumbua sisi tunaopokea matangazo yenu kwa njia ya satellite ya INTELSAT906E.Kwa kipindi kirefu hili tatizo limekuwa sugu mara wiki mbili signal quality zenu zinakuwa safi baada ya hapo zinasumbua au hazipatikani kabisa kama ilivyo sasa labda tu kwa wale wanaotumia yale madish yenye ukubwa wa ft8.Kwa hawa wa Star tv mlikuwa vizuri sana kwa hadi signal quality yenu ilikuwa juu sana sawa na channel ya Aljeezra.Sasa nashindwa kuelewa ninini kinachosumbua mara leo hivi mara kesho hivi naingiwa na wasiwasi kuwa labda hao wamiliki wa hivyo vingamuzi ndio mnaokula nao ili tukimbilie kwenye vingamuzi vyao kwa kuvuruga mfumo huu tunaoutumia!!!!!!!!.. Nawasilisha
 
Ni kweli kabisa sasa hivi ch 10 haionekani na ITV nayo imekata au wanataka kuwafuata ATN ambao wao wameamua kupotea kabisa kwenye FTA.
 
Aina ya mitambo wanayotumia haiendani na tech ya sasa naona most of the tv wamehamia KU band na sio C band ambayo hata quality ipo chini sana.
 
Ni kweli, baadhi ya TV's za hapa Tanzania hazipatikani kwa Satelite Dish kwa vile nyingi zinatumia masafa ya C Band, ningeshauri kama inawezekana watumie KU Band kwani ni masafa yenye nguvu na ubora.
 
Uko sawa kabisa halafu band ya ku huwa haisumbuisumbui kama yaalivyo haya ya c-band
 
poleni. ni ngumu sana na garama kwa tv na radio kuwa content provider na service provider at the same time
ktk ulimwengu wa kiteknolojia makampuni kama hayo wanatakiwa kuwa content provider peke yake
kazi ya kusambaza matangazo yao ifanywe na kampuni tofauti kama wanavofanya startimes na easy tv au ATN ingawa quality zao bado haziendani na matakwa ya digital.
kwa nchi za wenzetu ndio hivo ukianzisha tv au radio huna haja ya kuweka minara kazi hiyo inafanywa na service provider ambae atasambaza matangazo hayo kwa watu either kwa njia ya cable au zamani terestial
tuwasamehe hawa itv,star na cha 10 kwani ni garama sana kumudu satelite na wkt huo huo kukuandalia vipindi nadhani digital itakapoanza mambo yatakuwa mswano lakini sheria kama TCRA na Electronic Comm Act nazo zina mapungufu makubwa.
soon mtaona mabadiliko.
 
nilifikiri ni kwangu tu. Kumbe tupo wengi tunaohangaika.
 
Ops! Sasa ni Nchi Nzima!

Wanatakiwa kulifanyia kazi. Zaidi ya week mbili chenga mtindo mmoja au "No SIGNAL"! Inaboa sana.
 
nilifikiri ni kwangu tu. Kumbe tupo wengi tunaohangaika.

hata mimi! Sasa yangu mimi ndiyo kiboko,ITV,Chan 5,Chan Ten,Capital,Star TV,sizipati.ATN nishaisahau! TBC ina signal ndogo.Inaweza ikaonekana kwa nusu saa ikakata! Inakatakata yaani. Hakuna raha kiufupi!
 
Ejama eh, sio inabidi utoke nje na urekebishe muelekeo wa dish lako? Pandisha upande kiduchu au shusha kiduchu na uchezee pale weeee mpaka kieleweke!
 
Ejama eh, sio inabidi utoke nje na urekebishe muelekeo wa dish lako? Pandisha upande kiduchu au shusha kiduchu na uchezee pale weeee mpaka kieleweke!
nimeshafanya sana hivyo bila mafanikio hata ukimuita fundi atafanikiwa baada ya muda kidogo hali inarudia kama zamani so inakuwa ni upotevu wa fedha yaani taabu tupu siwaelewi hawa watu tatizo ni nini.
 
Wadau nashukuru sana kwa taarifa hii, nilidhani ni kwangu tu, kiasi kwamba nikajuwa madogo wameshafnaya ufundi wao. SINA HAKIKA KAMA WAFANYAKAZI WA HIZI TV KAMA HUWA WANAPITA JF. kama manapita tafadhali fanyieni kazi, midahalo yote ya star TV HATUIONI WENZENU.

LA sivyo tutahamia kwa hao wenzenu wapya ZUKU, ingawa nao ili wapate wateja zaidi lazima waongee na local TV ili local TV pia zipatikane kwenye program zao.
 
Acheni ubahili nunueni ma-dish ya futi nane.Mi ninalo la futi nane TV zote za bongo na Kenya nazipata kwa Intelsat 702
 
Kama mnafika katika uwanja huu na kusoma ujumbe huu tafadhalini hebu shughulikieni hili tatizo linalotusumbua sisi tunaopokea matangazo yenu kwa njia ya satellite ya INTELSAT906E.Kwa kipindi kirefu hili tatizo limekuwa sugu mara wiki mbili signal quality zenu zinakuwa safi baada ya hapo zinasumbua au hazipatikani kabisa kama ilivyo sasa labda tu kwa wale wanaotumia yale madish yenye ukubwa wa ft8.Kwa hawa wa Star tv mlikuwa vizuri sana kwa hadi signal quality yenu ilikuwa juu sana sawa na channel ya Aljeezra.Sasa nashindwa kuelewa ninini kinachosumbua mara leo hivi mara kesho hivi naingiwa na wasiwasi kuwa labda hao wamiliki wa hivyo vingamuzi ndio mnaokula nao ili tukimbilie kwenye vingamuzi vyao kwa kuvuruga mfumo huu tunaoutumia!!!!!!!!.. Nawasilisha
xxxxxxx&&&&&&&&
Hali hii ni mbaya ,kwangu mm matangazo ya ITV yanaanza kuleta scratch saa moja kabla ya taarifa ya habari na kwa upande wa Star TV hii ni week ya tatu sasa sijawahi kuiona japo mara moja au mbili watoto waliniambia kuwa hutokea kama bahati inakuja na scratches SASA YA TING OOOHH HAWA JAMAA HAWANA ISSUE KABISA KWANZA WALIKUWA WANATUUZIA FTAs hata hivyowalipopotea wakasema ooh tunarekebisha ooh tunahili mradi braa bra kibao ,tulinunua DECODER ZA0 KWA ROBO MILION ILI TUPATE MATANGAZO TOKA YA MPIRA HATA NANINHII wapi bwana tumeliwa ukiwasiliana nao longolongo kibao ,HIVI hawawezi kushitakiwa hawa?????
 
Mimi naomba tu mnisaidie kurecover hata robo milion yangu nilyowapa TING maana nao hawana issue yoyote wametula pesa lakinihakuna lolote nisaidieni maamna napata fta za kichina kama 6 hazia lolotla maana
 
Back
Top Bottom