Wakuu, vijijini vita mjini njaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakuu, vijijini vita mjini njaa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Userne, Dec 6, 2011.

 1. U

  Userne JF-Expert Member

  #1
  Dec 6, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 895
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Daah, Wakuu! Manake kisu imefika kwenye mfupa! Baada ya maisha haya ya mjini ya kubangaisa na vibarua mtaji ukiwa mguu wako! Nilishindwa kuishi mjini baada ya kushindwa kumuachia buku wife naye mchana afanye maarifa ili nikirudi nipate ubwabwa na mboga mbili, angalau chenji ibaki nipate kaglasi kibandani! Nikarudi mikono mitupu na wife siku hiyo maarifa kashindwa!!! Nikamwambia wife hatujaiba kijijini turudi kwetu! Tukauza cha kuuzika huyoo kijijini.
  Daah! baada ya wiki vita ikaanza na kaka yangu baada ya yeye kuuza baadhi ya mashamba na kukataa kunipa hata moja nami nijishikize!
  Pembeni nako majungu yameenea kuwa mgoni nimerudi tena nina ngoma, hata watoto wananiogopa, kaka kapakaza kila kona kijijini!
  Narudi Wakuu mjini, Au!
  Mjini njaa Vijijini Vita Tz kwetu!
   
 2. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #2
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,148
  Likes Received: 1,882
  Trophy Points: 280
  mpokee Bwana Yesu upate Amani!
   
Loading...