Kanuni mpya ya PAYE

NewDawnTz

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
1,667
362
Habari za majukumu wandugu!

Ningependa kufahamu je kuna mabadiliko yoyote kwenye kanuni mpya ya kutafuta PAYE? Nimejaribu kutembelea website yao wana ile PAYE Calculator lakini formula sijaiona.

Please ninahitaji msaada wenu kwenye eneo hili.

Thanks
 
Hapa wachache watakuja na hoja za haja,maake hesabu wengi wetu ni issue
 
Website ya hawa wakubwa naona kama imesinzia. Nimevutiwa na kisehemu cha new tax rates, kwenda huko nakutana na rates za 2010/11. Aibu!
 
Tatizo kima cha chini hakijatangazwa lakini zile asilimia zingine kama wewe sio KCC hazijabadilika, mfano kama mshahara wako ni zaidi ya laki 720, PAYE itakuwa 112500 kujumlisha 30% ya hela iliyozidi kwenye laki 720.
 
Yah ni kweli hakijatangazwa lakini hakuna mabadiliko yeyote kwenye asilimia hivyo kwa mapato yasiyozidi 720,000 fomula inabaki vile vile yaani katiya 135,000 na 360,000 kodi ni 14%, na kati ya 360 hadi 540 ni 31,500 ongeza 20% ya kiasi kinachozidi sh 360,000na 540,000 hadi 720,000 ni 67,500 ongeza 25% ya kiasi kinachozidi 540,000.
 
Hizi hesabu hizi......yaani sijaelewa kitu hapa!
 
Hizi hesabu hizi......yaani sijaelewa kitu hapa!

Pole sana! Hesabu ni kaugonjwa ka taifa usijali...Nitajie mshahara wako nikufanyie hesabu take home itakuwa sh ngapi pengine utanielewa.
 
Pole sana! Hesabu ni kaugonjwa ka taifa usijali...Nitajie mshahara wako nikufanyie hesabu take home itakuwa sh ngapi pengine utanielewa.

Hebu fanya hii nisije nikawa naibiwa...
Nalipwa gross: 800,000/-
 
House allowance 120,000.
Gross pay 1,916,666.

Naomba ni kalkuletie teki hom

Vivian kabla sijaanza mahesabu naomba nikopeshe japo 50k.

Here we go:

Step 1: 120,000 + 1,916,666 = 2,036,666
Step 2: 2,036,666 - 720,000 = 1,316,666
Step 3: 1,316,666 x 30% = 394,999.80
Step 4: 394,999.8 + 112,500 = 507,499.80 (PAYE)
Step 5: 2,036,666 x 10% = 203,666.60 (NSSF)

Unayompelekea Mr. nyumbani itakuwa 1,325,488.60 (i.e 2,036,666 - 507,499.80 - 203,666.60)

Wahasibu watasaidia kama nimekosea
 
Vivian kabla sijaanza mahesabu naomba nikopeshe japo 50k.Here we go:Step 1: 120,000 + 1,916,666 = 2,036,666Step 2: 2,036,666 - 720,000 = 1,316,666Step 3: 1,316,666 x 30% = 394,999.80Step 4: 394,999.8 + 112,500 = 507,499.80 (PAYE)Step 5: 2,036,666 x 10% = 203,666.60 (NSSF)Unayompelekea Mr. nyumbani itakuwa 1,325,488.60 (i.e 2,036,666 - 507,499.80 - 203,666.60)Wahasibu watasaidia kama nimekosea
Ni kweli mkuu UMEKOSEA,NSSF ni tax exempted inabidi gross salary utoe NSSF kwanza then balance ndio u calculate PAYE! Kama wafanyakazi wako unawakata Paye kabla hujatoa NSSF pole zao! Lakini hii ndo JF mahali pa kujifunza maarifa mengi.wote twajifunza.
 
Hebu fanya hii nisije nikawa naibiwa...
Nalipwa gross: 800,000/-

Poa mkuu mambo inakwenda hivii
1. 800,000 - 10% ya NSSF = 720,000 (kama upo kwenye private sector) Kama Govt PPF ni 5%
2. 720,000 - 520,000 = 180,000 (hiki ni kiasi cha kutozwa 25%)
3. 180,000 - 25% = 135,000
4. 45,000 +67,500 + 80,000 = 192,500 (jumla ya kodi & NSSF unayotakiwa kulipa)
5. Pesa utakayompelekea mamsapu ni 607,500/=
5. Kama ni mfanyakazi wa serekali wekamakato mengine kama Bima ya Afya 3% nk.

Ni kweli mkuu UMEKOSEA,NSSF ni tax exempted inabidi gross salary utoe NSSF kwanza then balance ndio u calculate PAYE! Kama wafanyakazi wako unawakata Paye kabla hujatoa NSSF pole zao! Lakini hii ndo JF mahali pa kujifunza maarifa mengi.wote twajifunza.

Sure mkuu umesahau pia yawezekana huwa analipwa kwa fomula hiyo kwahiyo anaibiwa pia!
 
House allowance 120,000.
Gross pay 1,916,666.

Naomba ni kalkuletie teki hom

Nitafanya kwa kifupi kuokoa muda procedure ni kama nilivyofanya kwa mentor hapo juu.

1. Chukua jumla ya mapato yako then calculate 10% NSSF assuming kuwa upo kwenye private sector. Kama serekalini PPF or PSPF ni 5%.
Kwahiyo 2036,666 * 10% = 183,2994
2. Kodi (paye) itakuwa ni TZS446,398, then jumlisha NSSF inakuwa 650,064 ukiminus kwenye total earnings unabakiwa na 1,386,602. dah kamshiko kazuri vivy. Outing bac tutashare cost!
 
Back
Top Bottom