Kwanini tunalazimishwa kuamini kua wabunge ndio wenye maisha magumu?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini tunalazimishwa kuamini kua wabunge ndio wenye maisha magumu??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by massai, Dec 6, 2011.

 1. m

  massai JF-Expert Member

  #1
  Dec 6, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kitendo cha serekali kuongeza mishahara ya wabunge ni udikteta kwenye serekali legelege na isiyojali wananchi wake ambao ndio wengi na ndio wenye maisha magumu na ya taabu kiliko wao wanaokaa kwenye viyoyozi kuanzia ofisini mpaka safarini.wakati huohuo analipiwa huduma zote ambazo anaepewa robo au hata chini ya robo ya mshahara wake anajitegemea kwa kila kitu tena na michango lukuki ya serekali za mtaa.hivi walimu,manesi na wafanyakazi wengine wanatetewa na nani katika kupigania haki yao ya kuongezewa mishahara katika uwajibikaji wao??serikali yakidikteta ni inayokumbatia viongozi wakisiasa,wanajeshi na sakari polisi kwa ujumla.inamaana hii serikali inawatu wakufanya tathmini ya hali na maisha waishio viongozi na wanajeshi alakini sio wataabika walimu na manesi??kweli walalahoi hatuna thamani kwenye hii nchi ya tanganyika.
   
Loading...