Msemeni Dk.Slaa Paka Mchoke lakini juweni Kelele za Chura Hazimzui Ng'ombe Kunywa maji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msemeni Dk.Slaa Paka Mchoke lakini juweni Kelele za Chura Hazimzui Ng'ombe Kunywa maji

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tanzaniaist, Dec 6, 2011.

 1. T

  Tanzaniaist Senior Member

  #1
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 162
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Naona Kuna Watu Wanaishusha hadhi jamii forum kwa kupost mada zisizo kuwa na akili...,kisa tu Itikadi za kichama,au chuki binafsi...! Jamani Dk.Slaa Mwacheni Kumwandama kwani Sifa zake au C.V yake haitaharibiwa kwa matutsi au siasa za maji taka...

  Kama Kwenye uchaguzi wa mwaka 2010,alishutumiwa kuiba mke wa mtu! mbona alipata kura za nyingi tu na wabungwe 23!
  Jamani kwenye Ulingo wa siasa ni toa sera ujibiwe kwa sera! Kwani Siasa ni Itikadi...,Sio majungu, au maneno ya Khanga...,Nadhani CCM walikiona cha MOTO kwa Dk.Slaa kwenye uchaguzi mwaka 2010 kwani washazoea siasa za majitaka! ndio maana paka sasa hivi wanaendeleza maneno maneno ya chuki..kwani aisemae sana mvua imemnyeshea

  Mwacheni Dk.Slaa Ajenge Chama chake! Bado Ana Heshima Tele Kwa Jamii Ya Kitanzania Na Kimataifa..
   
 2. ntogwisangu

  ntogwisangu JF-Expert Member

  #2
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 516
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  wewe!!!!!!wewe!!!!!!!!wewe!!!!!!ama kweli jf ni kituko!!!!!umenihaharibia chakula changu nilichokuwa nakula!!!
   
 3. S

  Shamwile Member

  #3
  Dec 6, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naunga mkono hoja mkuu kwa asilimia 100%....
   
 4. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #4
  Dec 6, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Tunashukuru kwa taarifa! Nadhani umesomeka...
   
 5. BBJ

  BBJ JF-Expert Member

  #5
  Dec 6, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 1,183
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Well said Mkuu.
   
 6. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #6
  Dec 6, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Huwa nasema hapa, kama huridhishwi na mtu, ama utendaja wa kiongozi fulani. Ni lazima upinge, ama utetee kwa hoja za msingi wala sio kuropoka na kuchafua hewa. Tunajifunza mengi hapa ya muhimu, lakini yatoke katika vinywa vya watu wenye akili.
   
 7. r

  rwazi JF-Expert Member

  #7
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dr.Slaaa hawezi kuchafuliwa na mtu. Matendo ya mtu ndo huwa yanamchafua.CCM na siasa za maji taka wamezoea kuchafuana bahati mbaya Slaa hachafuki
   
 8. l

  luckman JF-Expert Member

  #8
  Dec 6, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  what is the moral of your story?naona majungu tu hapa!
   
 9. l

  luckman JF-Expert Member

  #9
  Dec 6, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  naiona hii story kwa upande mwingine wa shiling, mhhh sijui kama wadau mmemuelewa vizuri huyu.
   
 10. jameeyla

  jameeyla Senior Member

  #10
  Dec 6, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwani hujui kama SIASA NI MCHEZO MCHAFU as long as you are in'' lazima UCHAFUKE,''Ndio maana wengine wanakimbilia kusafishwa kwenye nyumba za ibada,,,,mwache mwenyewe atafute pa kujisafishia,,,
   
Loading...