Kwanini Nyerere hakuwa Dr? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini Nyerere hakuwa Dr?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by massai, Dec 6, 2011.

 1. m

  massai JF-Expert Member

  #1
  Dec 6, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nimekaa na kujiuliza mara tatu nne kwanini Julius Kambarage Nyerere hakuwa na heshima ya udaktari aidha yakupewa au yakusoma darasani.hapohapo nikaanza kujijibu labda ilikua ni upungufu wa vyuo vilivyopo wakati ule,au ilikua si rahisi kupata hiyo heshima kama karama au zawadi au kwakuhonga ama kwakulazimisha,hapohapo najiuliza hivi haiwezekani akapewa hiyo heshima leo hii akiwa hayati??kwani kwa mazuri aliyofanya ni mengi kuliko mabaya aliyofanya na wala huwezi kmlinganisha na hawa waliopo,kama udokta ni kauli au busara za mwalimu zinadumu zitadumu nakudumu. ni mtazamo tu jamani na uelewa wangu mdogo katika hoja nzima.
   
 2. J

  JAY2da4 JF-Expert Member

  #2
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 207
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  [h=2]About Nyerere[/h][h=2]Honoraries and Award[/h]
  As a result of his good work, different institutions and universities honored Mwalimu Nyerere to mark his contributions to Tanzania, Africa, developing countries and the entire world.

  [h=3]Honorary Degrees and Awards[/h]
  He received honorary degrees from the following:
  1. University of Edinburgh (United Kingdom)

  2. University of Dugueshe (United States of America)

  3. Cairo University (Egypt)

  4. University of Nsukka (Nigeria)

  5. University of Ibadan (Nigeria)

  6. University of Monrovia (Liberia)

  7. Toronto University (Canada)

  8. Havard University (United States of America)

  9. Howard University (United States of America)

  10. Ljubliana (Yugoslavia) - Honorary Doctoral of Law (26 March 1985)

  11. Pyongyang University (Korea) - Honorary Doctorate of Philosophy (28th March 1985)

  12. National University of Lesotho (Lesotho)

  13. The State House Dar es Salaam (Tanzania) - Honorary Degree for Diplomacy (20th Sept, 1985)

  14. Havana University of Cuba (Cuba) - Honorary Degree of Doctor Of Philosophy (30th Sept 1985)

  15. University of Dar es Salaam (Tanzania) - Honorary Degree of Literature Honoris Causa (13th Sept 1986)

  16. Universities of Philippines (Philippines) - Honorary Doctorate of Humanities (12th July 1991)

  17. Manila (Philippines) - Honorary Doctor Degree (12th October 1992)

  18. Makerere University Kampala (Uganda) - Honorary Doctor of Laws (29th January 1993)

  19. Open University of Tanzania (Tanzania) - Doctor of Letters Honoris Causa (15th March 1997)

  20. Claremont University Centre (United States of America) - Doctor of Laws for Claremont graduate School California (17th May 1997)

  21. Sokoine University of Agriculture (Tanzania) - Doctor of Philosophy Honoris Causa (28th November 1997)

  22. University of Fort Hare (South Africa) - Doctor of Laws Honoris Causa (23rd April 1998)

  23. Lincoln University (United States of America) - Honorary Degree of Laws (5th May 1998)

  [h=3]Awards / Prices[/h]
  1. Yogoslavia - Memorial Plaque of the City of Belgrade (15th October 1969)

  2. Guyana - Freedom of the City of Georgetown (11th September 1974)

  3. Havana, Cuba - Order of Jose Marti (21st September 1974)

  4. Mexico - The Great Collar of the Aztec Eagle (24th April 1975)

  5. India - Nehru Award for International Understanding (17th January 1976)

  6. Guinea Bissau - Medal of Amilcar Cabral (19th September 1976)

  7. Brussels - The Dag Hammarskjold Price for Universal Merit

  8. New Delhi, India - Third World Prize (22nd February 1982)

  9. Maputo, Mozambique - Eduardo Mondlane Medal (7th September 1983)

  10. Geneva - Nansen Medal for Services to the Cause of Refugees (3rd October 1983).

  11. Luanda, Angola - Order of Augstino Neto Award (3rd October 1985)

  12. Luanda Angola - SADCC Sir Seretse Khama Medal (21 August 1986)

  13. Dodoma, Tanzania - Lenin Peace Prize (7th September 1987)

  14. Dodoma, Tanzania - Juliot Curie Gold Medal (February 1988)

  15. Paris, France - UNESCO Simon Boliver Prize (21st October 1992)

  16. Arusha, Tanzania - TANAPA / Gold Medal of Outstanding on Wildlife and Environmental Conservation (21st February 1994)

  17. New, Delhi, India - Gandhi Peace Prize (27th January 1995)

  18. Abujua, Nigeria - Nnandi Azikiwe Award (10th March 1996)

  19. Harvard University - World Map Globe (28th December 1999)

  20. CCM, Tanzania - The Century Statesman (2000)

  Source:Mwalimu Nyerere Foundation
   
 3. J

  JAY2da4 JF-Expert Member

  #3
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 207
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kapata nyingi tu mkuu,sema yule mzee hakuwa mtu wa sifa kama hawa vimeo wa siku hizi,alitaka aonekane kama mwalimu tu.

   
 4. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #4
  Dec 6, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Nimesoma hizo shahada za heshima za Nyerere hadi nimechoka.
   
 5. J

  JAY2da4 JF-Expert Member

  #5
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 207
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  lazima uchoke mkuu maana mnavyomtangazia sumu humu ndani ni balaa,hawa wenu wa siku hizi kupata kashahada kamoja tu umekuwa wimbo wa taifa.

   
 6. Ze burner

  Ze burner JF-Expert Member

  #6
  Dec 6, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  duh! shahada na awards zote hizo na bado amekufa. si msheeeezoooo
   
 7. popiexo

  popiexo JF-Expert Member

  #7
  Dec 6, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 743
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ngumu sana hawawezi kumfikia hata wakilazimisha vipi.
   
 8. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #8
  Dec 6, 2011
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,288
  Likes Received: 597
  Trophy Points: 280
  Mkuu, pamekaaje hapo?
   
 9. ntogwisangu

  ntogwisangu JF-Expert Member

  #9
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 516
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  hii nchi bwana ina mijitu ya ajabu sana!!!unakuta jitu linaanzisha thread kumponda nyerere!ok pengine alikuwa na mapungufu yake!!!lakini yeye na waliomfuata yupi alionyesha njia?dr kikwete!dr mkapa!!!!!na pengina alhaj dr mwinyi?mtakufa na vichwa ovyo ambavyohavijatumika!!!!kuweni wastaarabu!nyerere was ana still a great person who tanzania and africa in general has ever have!!!!!!
   
 10. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #10
  Dec 6, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Ni mara chache sana kuona wanamtambulisha kama Dr 10-8-2008 1-11-57 PM_0120.jpg
   
 11. m

  massai JF-Expert Member

  #11
  Dec 6, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nashukuru kwa ufahamisho wakuu,sikuwa na data hizo kabla much thanks to all replies ,asanteni sana.
   
 12. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #12
  Dec 6, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mwalimu alikuwa na madiriii kudaddadekiii zaidi ya 20, humo ma PhD ya kumwaga mbaya
   
 13. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #13
  Dec 6, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  kwa Nyerere ni sawa kabisa, ukiangalia maisha ya watu walivyokuwa wanaishi zamani na mambo yalivyoendeshwa utaona kabisa alistahili kupewa kubwa, hotuba zake nyingi imekuwa shule kwetu hadi hivi leo, katika hawa wote wa sasa nani katuonesha njia kama kiongozi wa nchi na chama katika hali ya nidhamu kabisa?
   
 14. NEW NOEL

  NEW NOEL JF-Expert Member

  #14
  Dec 6, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 837
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  Sasa hivi kuitwa Dr. Imekuwa sifa kuliko hata kuitwa Proffessor. Ndo maana kina flani wanapenda kuitwa kina Dr...li.....mi kuliko hata kina Prof.......
   
Loading...