Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Who are al-Shabab? Armed group...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Leo asubuhi maeneo ya mbezi karibu na shule ya HOPAC nimeona gari moja ikiwa imeteketea kwa moto...nilipouliza kulikoni nikaambiwa gari ile imechomwa moto na waendesha bodaboda baada ya gari hilo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni dalili nyingine ya serikali kufilisika kifedha kwani kwa taarifa nilizopata toka kwa rafiki zangu ambao ni mapolisi wa nyota moja.Tangu walipopandishwa cheo toka mwezi wa 10 hadi leo...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
wanajamvi napenda kujua unatumia 'mafuta ya kula' ya aina gani?mimi natumia mafuta ya alizeti yanayotengenezwa tanzania.nikitumia mengine watot wanawashwa mwili.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
-Bugando refferal hospital inahudumia mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Mara, Kagera, Geita,Singida, Tabora na Dododoma. -Tarehe 2/11/2011 wanapanga kuadhimisha miaka 40 ya kuanzishwa kwaake kwa...
1 Reactions
56 Replies
8K Views
Mnakumbuka hili neno? "wao wanasema watafanya nini, na mimi ninasema nimefanya nini katika miaka mitano iliyo pita, nime jenga shule ya benjamini mkapa secondary school,nimejenga uwanja mpya wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndg wanaJF,salam! Hivi ni kwanini inakuwaje baraza la mawaziri, kwa mfano marekani,tuanzie na Clinton,alikuwa na baraza lake la mawaziri kina bi Madeline Albright na wenzie. Alipokuja Bush...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jana ilikuwa na kesi inayo wakabili watu wawili dr Slaa na mzee Mtikila na vyombo vya habari vilivyo ripoti kauli zao dhidi ya utajiri wa Ridhiwani . swali kwa wana JF na wa TZ KWA ujumla, je...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Nina imani kuwa wahusika wa hii taarifa hawatakanusha kwa kusingia weakleeks kwani chanzo cha habari kinajieleza. kweli nchi yetu imeoza kwa kuwa na antracs wengi lakini wamejaa unafiki!!!
0 Reactions
0 Replies
909 Views
Wanajamvi: Ukisoma stori hii hapa chini utaona kwamba mchakato wa kuzichagua kampuni zilizotajwa kufanya hiyo pre-shipment inspection (PSI) haukuwa wa zabuni, kitu ambacho ni kinyume na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
By Mkinga Mkinga, The Citizen Reporter Dar es Salaam. The government spent a total of Sh64 billion to facilitate celebrations to mark the 50th independence anniversary of Mainland Tanzania...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Millard Ayo alipomtembelea Riziwai hivi leo. Milllar anaandika hivi.................. nikiwa na RIDHIWANI KIKWETE nyumbani kwake leo, tumezungumza mengi ambapo pia amezungumzia KAULI NZITO...
0 Reactions
39 Replies
7K Views
Asubuh ya leo nimeona ubunifu wa Ombaomba, nilikua kwenye makutano ya kawawa road na nyerere rod,wakat daladala ipo kwenye folen nikasikia sauti iliyorekodiwa ikitoka kwenze kipaza sauti,SAUT HIYO...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau, hii kitu nimeiopoa kwenye Michuzi blog ambapo mdau aliyei-Post kule amedai ilipelekwa kwa mwenyeji wake kupitia posta. Tutafakari kwa pamoja.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
zaidi ya magari 200 yako katika eneo la mzani wilayani Biharamulo mkoani kagera kutokana na mgomo wa madereva wanaopinga unyanyasaji wa wadfanyakazi wa TANROADS katika kituo hicho habari...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu kama mnavyofahamu Tanesco inakusudia kupandisha bei ya umeme January 2012 kwa kipindi cha dharura cha miezi 6.Nashauri watu wote wenye hela zao wanunue umeme wa kutosha miezi 6 December hii...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwanini nasema hvyo,watu tulipanga kuandamana kupinga safari za mheshimiwa akiwa huko ughaibuni.watu wakahamasishana vya kutosha hadi sehemu ya maandamano kuanzia then 'chali'ikaja nyingine ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mbowe ataka siasa za amani, upendo zitawale Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amesema siasa za amani, upendo, mshikamano na zenye hofu ya kumuogopa Mungu...
6 Reactions
46 Replies
5K Views
Siku zote watanzania tunapigania nyongeza za mishahara kwa watumishi wa umma. lakini kabla hatujafika huko, kuna malipo yanatolewa na serikali kwa watumishi hao lakini halmashauri hazilipi hizo...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Wapendwa, mwaka 2011 umekuwa na changamoto zake nyingi tu; Je umejenga utamadauni wa kujitathmini? Je yale uliyoyataka yametimia kwa kiasi gani? Je mipango yako na ndoto zako ulijitahidi kuifikia...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…