Polisi washindwa kulipa mishahara mipya kwa wakaguzi wa polisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi washindwa kulipa mishahara mipya kwa wakaguzi wa polisi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Manyiri, Dec 1, 2011.

 1. M

  Manyiri Member

  #1
  Dec 1, 2011
  Joined: Oct 27, 2007
  Messages: 73
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Ni dalili nyingine ya serikali kufilisika kifedha kwani kwa taarifa nilizopata toka kwa rafiki zangu ambao ni mapolisi wa nyota moja.Tangu walipopandishwa cheo toka mwezi wa 10 hadi leo hawajalipwa mishahara yao mipya.Hili ni fundisho kwa askari wote kwamba wananchi tunavyoipigia kelele serikali kuhusu maslahi ya umma na wao wakiwemo wasikurupuke tu na kutupiga mabomu ya machozi kwani hata wao ni miongoni mwa wanaohitaji kutetewa na nguvu ya umma.
   
 2. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #2
  Dec 1, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hao ni mapolisi kata, mishahara yao inatoka TAMISEMI
   
 3. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #3
  Dec 1, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0

  Mbona tunaelezwa kuna waalimu ambao wana miaka zaidi ya 10 hawajapandishwa maraja na waliopandishwa hawajalipwa mishahara mipya.

  Mimi nilifikiri wamepandishwa vyeo October 2010 kumbe Oct 2011. Wawe na subra wakati mchakato unafanywa kuingiza majina yao katika system
   
 4. Sordo

  Sordo JF-Expert Member

  #4
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Waache waumizwe maana nao wamezoea kutumiza sisi walalahoi tukiandamana barabarani kuhusu hali ngumu ya maisha!
   
 5. s

  semako Senior Member

  #5
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Polisi kasoma psychomotor tu hana affective na cognitive domain,ndio maana wengine tukigima wao wanazuia;waache wakome.
   
 6. M

  Manyiri Member

  #6
  Dec 3, 2011
  Joined: Oct 27, 2007
  Messages: 73
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Mi naomba waendelee kukomeshwa ili matatizo tunayowaeleza kuhusu serikali yao angalau ladha yake watakuwa wanaijua.siyo kazi kupiga waandamanaji tu.pamoja na kunyonywa kilelepori hakuna mshahara mpya komeni mapolisi vilaza wa bongo.
   
 7. L

  Leliro Member

  #7
  Dec 3, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani kuwalaumu polisi kuwa wanakumbatia mfumo uliopo ni kuwaonea. Ninavyokumbuka polisi wengi wakati wa uchaguzi wa 2010 walikuwa wanataka mabadiliko na walisaidia sana sehemu mbali mbali kupata mabadiliko. Walidiliki hata kuanzisha ka-mtandao ka sms wakiulizana vipi Dr kapata ngapi hapo pamoja na kuhimizana wampe wote kura. Sikatai kuwa wamekuwa wakandamizaji sana ya watu wanaoingia barabarani kuandamana lakini ni vema kukumbuka kuwa wako chini ya kiapo cha utii, hivyo wanayafanya haya si kwa kutaka bali kulazimishwa na mfumo. Nilishawahi kushudia waandamanaji kadhaa wamekamatwa na baada ya kuona hakuna mashambega (tena raia) waliachiwa na kuambiwa wakimbie. Hii yote ni ishara ya kuonyesha kuwa wako upande wa kutetea wanyonge
   
 8. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #8
  Dec 3, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kwa kazi ya yenye manufaa kwa wananchi wanayoifanya!!
   
 9. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #9
  Dec 3, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kwa kazi gani yenye manufaa kwa wananchi wanayoifanya!!
   
 10. k

  kajunju JF-Expert Member

  #10
  Dec 13, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Polisi kuna tatizo hasa mfumo.nafikiri wale wa kamishena na rpcs wengi ni wale waliokuwa chipukiz enz za chama kmoja.vijana wa polis ukiongea nao ni waelevu isipokuwa makada hawa.kuna ambao muda wa kustaafu hawatak kuondoka na still wanapewa mkataba.lingine polis mara nyingi hawatumii ule msemo wa wakikucomand nawe tumia ali yako.walio wengi kwa kuwa ni maskin wakiambiwa kamata wanafurah kwan ndiyo muda wa kuwaibia maskin wenzao
   
Loading...