Kuna zabuni iliyoitishwa na serikali kupata kampuni hizi za ukaguzi wa bidhaa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna zabuni iliyoitishwa na serikali kupata kampuni hizi za ukaguzi wa bidhaa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Zak Malang, Dec 13, 2011.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Dec 13, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Wanajamvi:

  Ukisoma stori hii hapa chini utaona kwamba mchakato wa kuzichagua kampuni zilizotajwa kufanya hiyo pre-shipment inspection (PSI) haukuwa wa zabuni, kitu ambacho ni kinyume na utaratibu wa serikali. Inafaa Naibu Waziri Nyalandu atueleze zabuni ilitolewa lini na ilitangazwa vipi.

  La pili ni kwamba kazi ya PSI – yaani bidha kukaguliwa nje ya nchi ilikuwapo zamani na iliondolewa kwa sababu zisizoeleweka na badala yake ukawekwa utaratibu wa kukagua ubora wa bidhaa nchini humu – yaani destination inspection (DI).

  Lakini cha ajabu ni kwamba moja ya kampuni iliyopewa – SGS – ya Switzerland iliwahi kupewa kazi hiyo na TRA mwishoni mwa mwaka 1998 na zabuni yake ilifunikwa katika mizengwe mikubwa na ufisadi.

  Kwani SGS ilikuwa inatuhumiwa kwa mambo ya ufisadi katika nchi nyingi tu zikiwemo Uganda, Nigeria, na Pakistan katika miaka hiyo hiyo ya 90. Ufisadi unakuwa kwamba kamisheni ya kampuni hizi ni kubwa sana kwani hutegemea na thamani ya bidhaa zinazoingia -- mabilioni ya dola.

  Nawasilisha.

  ********************************  Goods for pre-shipment inspection


  By PIUS RUGONZIBWA

  A NEW goods importation procedure to curb dumping of substandard products in the local market comes into effect next month.

  The system dubbed Pre-shipment Verification of Conformity to Standards (PVoC) will replace the current Destination Inspection (DI) which has failed to detect substandard products.

  Three foreign companies namely SGS (Switzerland), Intertec International (UK) and Bureau Veritas (France) have been picked as implementing partners of the system.

  Speaking at the PVoC pre-implementation conference held in Dar es Salaam on Monday, the Deputy Minister for Industry and Trade, Mr Lazaro Nyalandu, said the system aims to protect local market from the influx of substandard goods.

  "The system has helped some developing countries control importation of substandard products. Tanzania Bureau of Standards (TBS) was requested to find out how we could benefit from the system," he stated.

  Mr Nyalandu said domestic industries had been adversely affected by the presence of substandard products, citing unfair competition resulting from the cheap goods.


  "Inability of local manufacturers to expand their capital stock, restricts the sector from increasing output, thus limiting additional employment opportunities," he said.


  Mr Nyalandu mentioned Kenya, Nigeria, Ethiopia, Ghana, Burkina Faso, Zambia, Saudi Arabia Iran and Jordan as some of the countries using pre-shipment inspection.

  TBS Director General Mr Charles Ekerege said three companies were selected after a thorough selection exercise.

  Daily News 12 Dec 2011.
   
 2. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #2
  Dec 13, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Katika Pakistan, ufisadi wa kampuni hii ulimhusisha aliyekuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo hayati Bi Benazir Bhutto ambaye alifukuzwa kazi mwaka 1990 kwa sababu za ufisadi likiwemo suala la SGS.
   
Loading...