Kwanini wao tu? Hamna wengine?

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
7,979
13,630
Ndg wanaJF,salam! Hivi ni kwanini inakuwaje baraza la mawaziri, kwa mfano marekani,tuanzie na Clinton,alikuwa na baraza lake la mawaziri kina bi Madeline Albright na wenzie. Alipokuja Bush 'junior' alikuja na kina Collin Powell, Ramsfied na wengine, awamu ya pili akaja na akina bi Rice na wenzie ,mpaka sasa Obama yupo na kina bi clinton,. Kwa ufupi hakuna waziri aliyetumika na rai m1 then akatumika kwa rais anayefuata,mfano clinton, waziri wake akatumike na bush...lakini angalia hapa kwetu,mfano mzuri Bazili Mramba ametumiwa na marais wote, kuanzia mwalimu mpaka JK, Wengine walotumika na zaidi ya serekali moja ni kina Juma kapuya, JK,Lowassa,Iddi Simba,Ben Mkapa, orodha ni ndefu...kutumia mawaziri walewale ktk serekali tofauti, au kubadilisha mawaziri kila baada ya serekali kupi kunaleta ufanisi? Nawasilisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom