Umeifanyia nini nchi yako!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umeifanyia nini nchi yako!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by undugukazi, Dec 13, 2011.

 1. undugukazi

  undugukazi JF-Expert Member

  #1
  Dec 13, 2011
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Mnakumbuka hili neno?
  "wao wanasema watafanya nini, na mimi ninasema nimefanya nini katika miaka mitano iliyo pita, nime jenga shule ya benjamini mkapa secondary school,nimejenga uwanja mpya wa taifa,nimejenga daraja la kule kusini,kiwango cha elimu kimepanda wanafunzi wamefaulu sana hii miaka yangu mitano wanafunzi niliona wanacheza sana mashuleni nikasitisha michezo mashuleni ili wasome kwanza harafu nitairuhusu.nimejenga mpango endelevu wa kuongezeka shule za secondary na za msingi zoezi hili litakamilika baadae kwa atakae nifuata"

  nakumbuka maneno ya mkapa katika kampeni yake ya uraisi wakubalizia miaka mitano

  wale watu wa cuf na ccm nao wamesha pata nao cha kusema wamefanya nini sasa nanyinyi chadema m mewafanyia nini wananchi miaka yote hii ukiachana na mambo ya kisiasa na katiba?

  Tunataka ushahidi wa ki phisikia wa kudumu (permanent physical evidence) kama wa mkapa na kama wanavyo fanya cuf kwa vitendo sio porojo tu za kisiasa
  kwa mfano mnyika kaifanyia nini ubungo?

  (tafadhali sipo upande wa chama chochote tuchague kiongozi mchapa kazi na bora lakini sio chama) umeifanyia nini nchiyako ili wale watakao zaliwa waya kute mabaki kama ya wakoloni, hayo ndio maendeleo
   
Loading...